Najulikana Mbinguni (I am Known in Heaven) Lyrics – Martha Mwaipaja

[Swahili] Ninajulikana mbinguni (I am known in heaven) Ninaheshimiwa mbinguni (I am respected in heaven) Nimehesabiwa na Yesu mwenyewe (I have been counted by Jesus Himself) Ananitosha milele (He satisfies me forever) Ninajulikana kwa Baba juu (I am known by Father above) Ninaendelea tu na Yesu (I continue with Jesus) Nimehesabiwa mbinguni juu (I have … Read more

Nilibaki Na Wewe Lyrics – Neema Cizungu

Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu Nainua mbingu juu sana Nakuinua Mungu juu sana Wa moyo ninajua unaishi milele Wa akili zangu mi najua hauna mipaka Jana nimekuona ee Mungu Naendelea kukuona Nikikumbuka kipindi kile cha maisha … Read more

Makuu Lyrics – Tumaini Akilimali Feat. Martha Mwaipaja

Eeh baba niseme nini kwako Niseme nini kwa kwako Unayotenda ni makuu Niseme nini kwa kwako Unayotenda ni makuu Umenipenda kuliko yeyote duniani Dhamani yako baba imezidi Niseme nini uliyotenda ni mengi Bwana Eeh Baba umepanguza machozi yangu Umenitoa mavumbini nashukuru Bwana Ndio maana najiuliza mimi Niseme nini kwako? Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni … Read more

Backslide Lyrics – Ringtone Apoko Feat. Martha Mwaipaja

Kubackslide haiwezekani, haiwezekani Kurudi nyuma kwangu, haiwezekani Haiwezekani kurudi nyuma kwangu, haiwezekani Haiwezekani kweli haiwezekani Nimetoka mbali, inaenda mbali Shida nilizopitia ni kali Mungu wangu akakubali Eti nitoke chini nice juu Niache sukuma nile Kuku Toka kwenye strong tea na kulal Kuimba na kupendwa bila talanta Toka route 11 mpaka moti Kubackslide  Haiwezekani Aaaah aah … Read more

Ni Siku Kuu Lyrics – Martha Mwaipaja

Ni siku kuu siku ile Ya kumkiri Mwokozi! Moyo umejaa tele Kunyamaza hauwezi Ni siku kuu siku ile Ya kumkiri Mwokozi! Moyo umejaa tele Kunyamaza hauwezi Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu Tumekwisha kupatana Mimi wake,Yeye wangu Na sasa nitamwandama Nikiri neno la … Read more

Ni Tabibu Lyrics – Martha Mwaipaja

Ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu Na neema za daima ni dawa yake njema Hatufai kuwa hai, wala hatutumai Ila yeye kweli ndiye atupumzishae Imbeni malaika sifa za Yesu bwana Pekee limetukuka, jina lake Yesu Dhambi pia na hatia ametuchukulia Twenendeni na amani, hata kwake mbinguni Uliona damu jina la Yesu kristo bwana Yu … Read more

Karibu Home Lyrics – Bamboo Feat. Martha Mwaipaja

Yeah yeah, Yesu asifiwe sana Nilipookoka nilikuwa na vitu mingi (Sielewi) Sikujua ka hufai kukuwa bar (Mi sipewi) Sikujua ka kuna mtu ka shetani (Sikudhani) Kuna watu fulani illuminati yaani Sikujua kuna kitu kama pepo na malaika Walifukuzwa toka mbingu wako huku wanatafuta Yule ana mafuta, yule amechafuka Toto hadi kwa guka Mimi nishawahi anguka … Read more

Mambo Yamebadilika Lyrics – Martha Mwaipaja

Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yangu si vile, neema imeniona Mambo yamebadilika, eleza ya leo Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Wewe ni kila kitu Yesu, asante No no no no, nimetazamwa na mimi Hallelujah … Read more

Wangejua Lyrics – Martha Mwaipaja

Halleluyah, haa Yeye ni Mungu akisema amesema Yeye ni Mungu Yeye ni Baba akipanga amepanga Yeye ni Baba Yeye ni vyote akisema amesema Yeye ni Mungu Yeye ni Mungu amepanga amepanga Maana ye Mungu Amesema hatutakuwa chini Ameshasema maana ni Mungu Amesema kesho yetu ni kubwa Kasema maana ye ni Mungu Usiliee, hee Amesema yeye … Read more

Maumivu Ya Jaribu Lyrics – Martha Mwaipaja

Eeeeeeh Yesu wangu Japo jaribu nimeruhusiwa na wewe Mwenyewe Nilijaribu inaumiza moyo Japo maumivu haya Yesu anayajua Moyo wangu unateseka Japo haya yote wewe pekee wajua Lakini moyo wangu unateseka aaahh Nitie nguvu Baba yangu Naishi katikati ya watu wasiojua Ni Nini napitia Natembea katikati ya watu Wasiojua maumivu yangu Kwa Sababu ya maumivu nilio … Read more

Nifundishe Kunyamaza Lyrics – Martha Mwaipaja

Nifundishe kunyamaza Nifundishe kunyamaza Nisijejibu nikakukosea Mungu uu Nifundishe kunyamaza Nifundishe kunyamaza Nisijejibu nikakukosea Mungu uu We ewe Baba, wewe ni mwalimu mwema We ewe Mungu wewe ni mwalimu mwema Niko darasani kwako Masia Baba naomba nifundishe kunyamaza Niko katika kipindi hiki Bwana naomba nifundishe kunyamaza Natamani kunyamaza ah Lakini si rahisi, nifundishe kunyamaza Natamani … Read more

Muhukumu Wa Haki Lyrics – Martha Mwaipaja

Parapanda itapigwa, itapigwa Parapanda itapigwa, itapigwa Parapanda itasika, itasikika Parapanda itasika, itasikika Hapo ndipo mfalme wa haki atakapotawala Hapo ndipo mfalme wa kweli atakapotawala Maana dunia ya leo watu wanapendeleana Maana dunia ya leo watu wanapendeleana Atatawala mwenye dunia Atatawala mwenye watu wake Maana dunia ya leo watu wanapendeleana Maana dunia ya leo watu wanapendeleana … Read more

Nashukuru Lyrics – Boaz K Feat. Martha Mwaipaja

Kifo chake Bwana Yesu Kilikua Cha uchungu Sanar Kunifia mi msalabani Kifo chake Bwana Yesu Kilikua Cha uchungu Sanar Kunifia mi msalabani Niokoke Asifiwe Bwana Yesu Asifiwe Mungu Ninatoa shukuru kwake Bwana Asifiwe Bwana Mungu wangu Asifiwe Mungu wa Nehema Nashukuru Bwana Mungu wangu Kwa kunipaa Kipawa Cha ajabu Nashukuru Bwana Mungu wangu Kwa kunipaa … Read more

Anatawala Lyrics – Janeth Jimmy Feat. Martha Mwaipaja

Anatawala Anatawala Anatawala Anatawala Yesu (2x) Wanabadili mawazo yao wanafika mwisho Leo ninayo majibu yao (2x) Wanajiuliza sanaar ninawezaje Wanatafuta sanaar anapataje Jibu Ni moja tu Yesu Anatawala Mawazo yapo chini Sina Shaka yutawala nami Anatawala Anatawala Anatawala Anatawala Yesu (2x) Anatawala Yesu Anatawala Anatawala Anatawala Baba Yangu Ameiweka dunia,Amemueka Binadamu Amemfanya aishi kwa uhuti … Read more

Sipiganagi Mwenyewe Lyrics – Martha Mwaipaja

Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sishindanangi mwenyewe Ninashindiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Mwenzio sishindani mwenyewe Mimi vita sijui Mimi vita siwezi Asema nitulie atajibu Kuna majira vita huja kwangu Kuna majira watesi waliniunikia Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe Nikasikia sauti, sauti imebeba ushindi wangu Ikaniambia mimi … Read more

Mbingu Zimefunguka Lyrics – Martha Mwaipaja

Halleluya Baba mmmh Naona mbingu zimefunguka Zimeleta majibu yangu Naona mbingu zimefunguka Zimeleta majibu yangu Nimesikia sauti ikitoka pale Ikisema mwanangu nimekusikia Nimesikia sauti ikitoka pale Ikisema mwanangu nimekusikia Sauti, iliposikika Nilihisi mwili wangu umebadilika Kila kiungo cha mwili wangu Kimepokea makuu Kwa moyo ndani ya kilindi changu Naimba wewe ni Mungu Mimi, ndani ya … Read more

Amenitengeneza Lyrics – Martha Mwaipaja

Iko neema aah Neema itufanyayo tumebadilika Amenitengeneza huyu baba haa Amenitengeneza Amenitengeneza huyu baba haa Amenibadilisha Amenitengeneza huyu baba haa Amenitengeneza Amenitengeneza huyu baba haa Jana nililia mwenzio Amenitengeneza huyu baba haa Jana niliteswa sana Amenitengeneza huyu baba haa Amenibadilisha Amenitengeneza huyu baba haa Amenibadilisha Amenitengeneza huyu baba haa Jana nilifukuzwa Amenitengeneza huyu baba haa … Read more

Usilie Lyrics – Tumaini Mwasubila Feat. Martha Mwaipaja

Oooooooh dunia Hiii Ooooooh dunia Sikujua Kama dunia inaeza kunigeukia Sikujua Kama inaweza kunitoa machozi Sikujua Kama dunia inaweza kuniliza Mume wangu nenda ananifukuza Eti Sina mtoto Leo niende wapi Nifanye Nini Ooooooh ooooooooh Jifunze kumpenda Mungu Wanadamu watakupenda wakati wa Raha Wanadamu waneza Kukugeuka Wewe endelea mbele Atakukumbatia Baba Jitie nguvu twende Usilie nyamaza … Read more