Oooooooh dunia Hiii
Ooooooh dunia
Sikujua Kama dunia inaeza kunigeukia
Sikujua Kama inaweza kunitoa machozi

Sikujua Kama dunia inaweza kuniliza
Mume wangu nenda ananifukuza
Eti Sina mtoto Leo niende wapi
Nifanye Nini
Ooooooh ooooooooh
Jifunze kumpenda Mungu
Wanadamu watakupenda wakati wa Raha

Wanadamu waneza Kukugeuka
Wewe endelea mbele
Atakukumbatia Baba
Jitie nguvu twende
Usilie nyamaza
Wewe usilie nyamaza
Usilie nyamaza
Usilie wewe nyamaza
Mtetezi yupo nyamaza
Usilie wewe nyamaza
Usilie wewe nyamaza
Mtetezi yupo nyamaza

Hata majirani zangu wananicheka pia na ndugu zangu wananidharau
Kila ninakopita
Wamenitungia methali
Mungu nimekuja kwako msaada wa Kweli
Leo nimekukimbilia Kimbilio wa Kweli
Aliyewapa wengine atakupa na wewe rafiki
Sijawai kumuona Mungu amemuacha wake kwa Nini asikutazame na wake endelea

Kwani wengine tumetenda lipi jema
Jitie nguvu tuende pamoja usirudi nyuma
Watakuheshimu Siku moja
Watamjua Mungu wako
Atageuza ndimi zao
Badala ya kunena watanena mema
Watamjua baba

Song by Tumaini Mwasubila Feat. Martha Mwaipaja