Kifo chake Bwana Yesu
Kilikua Cha uchungu Sanar
Kunifia mi msalabani
Kifo chake Bwana Yesu
Kilikua Cha uchungu Sanar
Kunifia mi msalabani
Niokoke
Asifiwe Bwana Yesu
Asifiwe Mungu
Ninatoa shukuru kwake Bwana
Asifiwe Bwana Mungu wangu
Asifiwe Mungu wa Nehema
Nashukuru Bwana Mungu wangu
Kwa kunipaa Kipawa Cha ajabu
Nashukuru Bwana Mungu wangu
Kwa kunipaa Kipawa Cha ajabu
Naomba Mungu akinibariki natoa shukuru kwake
Asifiwe Mungu
Asifiwe Mungu wa Nehema
Ninatoa shukuru kwake Bwana
Asifiwe Bwana
Asifiwe Mungu wangu
Asifiwe Mungu wa Nehema
Ninatoa shukuru kwake Bwana
Asifiwe Mungu
Asifiwe Mungu wa Nehema
Ninatoa shukuru kwake Bwana
Asifiwe asifiwe
Asifiwe Bwana Mungu wangu
Asifiwe Mungu wa Nehema
Ninatoa shukuru kwake Bwana
Song by Boaz K Feat. Martha Mwaipaja