Tunapendana Lyrics – Alpha Mwana Mtule
Nilipatana na Zambe Nikiwa mtu bure Hizo siku nilikuwa nimezubaa Pale kwetu Webuye Alinikuta nimeparara Akaniosha nikang'ara Hii talanta ya muziki anakipa Na akazidi kutenda miujiza Mapenzi napata Kwa mwenyezi…
Nilipatana na Zambe Nikiwa mtu bure Hizo siku nilikuwa nimezubaa Pale kwetu Webuye Alinikuta nimeparara Akaniosha nikang'ara Hii talanta ya muziki anakipa Na akazidi kutenda miujiza Mapenzi napata Kwa mwenyezi…
Mungu wangunaanza tena Ah tena, tena Naanza tena Nipe nguvu naanza tena Ah tena, tena Naanza tena Hii ribi sandarem Baba yoo, hmm Baba Nyimbo nzuri nikutungie Baba, Baba wale…
Kama ni mapenzi nilishatafuta sana (I looked for love high and low) Kama ni kutoswa nilishatosa kwa bana (I was rejected in many places Kama ni mapenzi nilishatafuta sana I…
Ni Bahati na The Kansoul Madi kwenye track (Kererembe) Baha na The Kansoul (Kererembe) Mahater tunaleta (Kererembe) Ni kufunika na (Kererembe) Nikiwa na Jah Jah(Kererembe) Baraka zina jaa jaa(Kererembe) Mahater…
(Motif Di Don) Cheki ati eh Rada safi yaani basi bambi bambika Na ju sijali, ni wazi, mi nisha bambi bambika Ati ati ati, bambi bambika ka, bambi mbambika Ati…
Ulikonitoa ni mbali Kwenye panda shuka za maisha Kwenye mvua na jua kali Kivulini ukaniweka Kwenye juhudi za kutafuta shillingi Hukuninyima Tena kwa taabu nikitafuta riziki Ukaniinua Baba Nyingi mondo…
"Fellow Kenyans, this virus is in nearly All countries and territories in the world" "We must prepare for the worst" (EMB Records) Mwisho isiwe mwisho Mwisho (Mesesi play it) Dear…
Eeh niaje Deno Vipi Bahati tena? Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza sipo niambie bado Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza kifo niambie bado…
Mmmm yee hey hey hey oooh Story yangu, Niskize Mtoto mama, hivi unavyo niona ah Mimi Denno, nimetoka na mbali sana Hey hey, na Tange me nikazaliwa, hata mwangaza, Sikuwai…
[Swahili] Yale yale ya ujana maji ya moto n’kaukurupukia (The same youth is like hot water I jumped on it) Leo hii wawili watoto wanaiangalia (Today two children look to…
[Swahili] Bahati Tena Furahi yote Baba naitoa moyoni, Na nifurahi yote kwako husikie hewani. oooh, Ni barua ngapi nimeandika kwa njia mziki. Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki. Ni…
[Swahili] Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe Nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe Nikumbushe eh unikumbushe eh Leo…
[Swahili, English] Oh mapenzi ya msalabani ni mapenzi ya baba yangu* Miaka elfu mbili zilizopita, hiyo siku baba, kabla jua halijazama kabla giza halijatanda, pale milimani ,pale msalabani katika misumari,…
[Swahili] Bahati: Mungu wangu eeh Mungu wangu nakuita we Baba eeh Tunahisi Mungu umesonga uko far away Hawana kazi wakumbuke Messiah Wee Mashambani wanapata hasara wee Jionyeshe wakujue Baba watambue…
[Swahili] Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie Baba Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi nikununie Baba Hizi vitu ndogo ndogo, ndogo Sukari ikipanda na unga hizo vitu ndogo Umekonda na…
[Swahili] Mfalme Belshazzar maandiko yanamsimulia Alilewa madaraka akamkosea Mungu Alipopata ufalme alichanganyikiwa Mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu. Mfalme Belshazzar Alishangaa kuona mkono unaandika ukutani Na anayeandika alikuwa haonekani Maneno…
[Swahili] Mshike sana elimu usimwache aende zake, ni maneno ya mungu kutoka kwenye vitabu vitakatifu , mimi enzi zangu maneno hayo si kuyajua, nilifanya mchezo sikuweka uzito kwenye elimu ,…
[In Swahili] Si kwa bahati mbaya uko hai leo (It is not by chance that you are alive today) Na si kwamba wewe ni mjanja kuliko wale waliolala (It’s not…