[Swahili]

Bahati:
Mungu wangu eeh
Mungu wangu nakuita we Baba eeh
Tunahisi Mungu umesonga uko far away
Hawana kazi wakumbuke Messiah Wee
Mashambani wanapata hasara wee

Jionyeshe wakujue Baba watambue
Mizogo uwaondole, Yesu watulie eeh

Princess Leo:
Jionyeshe wakujue Baba watambue
Mizogo uwaondole, Yesu watulie eeh
Jionyeshe Baba Tusaidiee eeh
Eeheeh Yesu tuokoe
Ee-eh Jionyeshe Baba
eeh Yesu tukuone

Bahati:
Wazazi wetu wanapata pressure sinung'uniki [?]
Mara shuleni wanatuma pesa tusome
Tunakuwa slay queens

Princess Leo:
Mara wana[?] huo ndo utanashati
Mjini kuzurura vilabu, viganjani [?]
Tusamee ee-ee-eeh
Tusamee ee-eeh

Bahati:
Jionyeshe wakujue, Baba watambue
Mizogo uwaondole, Yesu watulie eeh

Princess Leo:
Jionyeshe wakujue Baba watambue
Mizogo uwaondole, Yesu watulie eeh
Jionyeshe Baba Tusaidiee eeh
Eeheeh Yesu tuokoe
Ee-eh Jionyeshe Baba
eeh Yesu tukuone

Jionyeshe kwa huduma yangu eeh
Uuu kwa biashara yangu
Ooh nakuhitaji sana
Kwa familia zao Yesu jionyeshe wewe
Tunakuhitaji sana Baba

Bahati:
Jionyeshe wakujue, Baba watambue
Mizogo uwaondole, Yesu watulie eeh

Princess Leo:
Jionyeshe wakujue Baba watambue
Mizogo uwaondole, Yesu watulie eeh
Jionyeshe Baba Tusaidiee eeh
Eeheeh Yesu watulie eeh

Song by Princess Leo & Bahati