Bwana U Sehemu Lyrics – Elizabeth Nyambura

Bwana u sehemu yangu rafiki yangu wewe Katika safari yangu tatembea na wewe Pamoja na wewe pamoja na Wewe Katika safari yangu tatembea na wewe Mali hapa sikutaka ili niheshimiwe Na yanikute mashaka sawasawa na wewe Pamoja na wewe pamoja na wewe Heri nikute mashaka sawasawa na wewe Niongoze safarini Mbele unichukue Mlangoni mwa Mbinguni … Read more

Tufani Inapovuma Lyrics – Elizabeth Nyambura

Bwana hunificha mafichoni mwake Hunifariji matesoni mwote Nimepata mapumziko kwake Yesu Hunilinda njiani pote Hunificha mafichoni Nionapo majaribu na mateso Hunificha mafichoni Bwana hunificha mafichoni mwake Bwana hunificha mafichoni mwake Ninalindwa naye utukufuni Nimevikwa na mwangaza wa mwokozi Ninafurahi siku zote Hunificha mafichoni Nionapo majaribu na mateso Hunificha mafichoni Bwana hunificha mafichoni mwake Bwana hunificha … Read more

Hunificha Lyrics – Elizabeth Nyambura

[Swahili] Tufani inapovuma, Sana moyoni mwangu, Huona pa kujificha, Mkononi mwa Mungu, Hunificha, hunificha, Adui hatanipata Hunificha, hunificha, Mkononi mwake. Pengine kuna taabu, Yanisongeza kwake, Najua si hasira, Ni ya mapenzi yake. Hunificha, hunificha, Adui hatanipata Hunificha, hunificha, Mkononi mwake. Adui wakiniudhi, Nami nikisumbuka, Mungu atavigeuza, Vyote viwe baraka. Hunificha, hunificha, Adui hatanipata Hunificha, hunificha, … Read more