Bwana u sehemu yangu rafiki yangu wewe
Katika safari yangu tatembea na wewe

Pamoja na wewe pamoja na Wewe
Katika safari yangu tatembea na wewe
Mali hapa sikutaka ili niheshimiwe
Na yanikute mashaka sawasawa na wewe

Pamoja na wewe pamoja na wewe
Heri nikute mashaka sawasawa na wewe
Niongoze safarini Mbele unichukue
Mlangoni mwa Mbinguni niingie na wewe

Pamoja na wewe pamoja na wewe
Mlangoni mwa Mbinguni niingie na wewe

Song by Elizabeth Nyambura