Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha

Bwana Yesu wangu nakupenda toka jadi
Wema wako Bwana umenifanya niwe hai
Bwana Yesu wangu nakupenda toka jadi
Wema wako Bwana umenifanya niwe hai

Umenipa sauti naimba
Umenipa uhuru nanena
Neno lako chakula cha roho
Wema wako ni tele tele tele ai

Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha

Ulikufa msalabani nafsi yangu kapona
Hata leo ninakiri kwamba wewe ni Bwana
Ulipigwa pigwa, ukateswa teswa wema wako ajabu
Ulipigwa pigwa, ukateswa teswa wema wako ajabu

Umenipa sauti naimba
Umenipa uhuru nanena
Neno lako chakula cha roho
Wema wako ni tele tele tele ai

Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha

Unaponya, Yesu wangu we wapendeza aha
Waongoza njia zangu zote nakupenda aha
Minapenda kuimba, minapenda kusifu
Minapenda kucheza, nakupendaa..
Aram tapa tapa minapenda vitu mingi
Hata kutaja nashindwa
Bila ule wema wako ningekuwa kitu bure
YESU nakupenda ah ah

Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha

Song by Blessed Paul Feat. Don Santo