NAOGOPA x TALK ABOUT LOVE Lyrics – DON SANTO
VERSE 1: Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa:|| Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unaweza sema pesa ndiyo…