Mgambo (Soldier) Lyrics – Goodluck Gozbert
[Swahili] Refrain: Mungu amenipa kutembea, hatua mbele (God has given me a step ahead) Eh kama mugambo, hatua mbele (Like a ranger, a step forward) (Repeat) Sadaka gani mimi nitoe?…
[Swahili] Refrain: Mungu amenipa kutembea, hatua mbele (God has given me a step ahead) Eh kama mugambo, hatua mbele (Like a ranger, a step forward) (Repeat) Sadaka gani mimi nitoe?…
Mungu amenipa kutembea, hatua mbele Eh kama mugambo, hatua mbele Yesu amenipa kutembea, hatua mbele Eh kama mugambo, hatua mbele Mungu amenipa kutembea, hatua mbele Eh kama mugambo, hatua mbele…
Mpe simu yangu Butati Pengine kuna kitu ataongea Natafuta faraja ya moyo wangu Maumivu makali yananitese Natafuta faraja ya moyo wangu Dharau zimezidi naumia Sababu ya umaskini nadharauliwa Mchumba wangu…
[Swahili] Mfalme Belshazzar maandiko yanamsimulia Alilewa madaraka akamkosea Mungu Alipopata ufalme alichanganyikiwa Mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu. Mfalme Belshazzar Alishangaa kuona mkono unaandika ukutani Na anayeandika alikuwa haonekani Maneno…
[Swahili] Sisi sote ni kazi ya mikono yako Tumeumbwa kwa mfano wako Sisi sote ni kazi ya mikono yako Tumeumbwa kwa mfano wako Mungu usifiwe (Mungu usifiwe) Mungu usifiwe (Mungu…
[Swahili] Utanitambuaje kama nimeokoka? Utanitambuaje kama namweshimu Mungu? Nasema, utajuaje kama tuko pamoja Katika safari ndefu ya kwenda mbiguni eeh? Utanitambuaje ndugu yangu nakuuliza niambie aiyee Huwezi kunitambua kama nimeokoka,…
[Swahili] Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka ooh Mama Imeandikwa waheshimu wazazi wako siku zako zipate ongezeka Imeandikwa waheshimu baba na mama…
[Swahili] Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana Tunakurudishia utukufu wako Baba (Heshima na mamlaka ni vyako) Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana Tunakurudishia utukufu wako Baba Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana Wastahili utukufu Jehovah Rapha…
[Swahili] Yesu alisema wacheni watoto waje kwangu Maana ufalme wa mbinguni ni wao msiwazuie Alionyesha upendo kwa watoto Mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako Endesha gari polepole usije kugonga…
[Swahili] Jamani Yesu Yupo Ni kweli Yesu Yupo Ni kweli Yesu Yupo Tunamtangaza yupo Tumeona kazi zake x3 Nilikuwa ninasimuliwa miujiza ya Yesu Nimeona kwa macho yangu nimejua yupo Nilikuwa…
[Swahili] Mshike sana elimu usimwache aende zake, ni maneno ya mungu kutoka kwenye vitabu vitakatifu , mimi enzi zangu maneno hayo si kuyajua, nilifanya mchezo sikuweka uzito kwenye elimu ,…
[Swahili] Hapo mwanzo Mungu alimwumba Adamu Bustani ya edeni aitunze Baadae Mungu aliona sio vyema Adamu awe peke yake akampa mke mwema Hapo mwanzo oooh Mke mweema anatoka kwa bwana…
[Swahili] Mungu anaketi katikati ya sifa Tukiimba Mungu anashuka Mungu anaketi katikati ya sifa Tukiimba Mungu anashuka eeh Imba imba imba Ukiimba Mungu anashuka Imba imba imba Ukiimba Mungu anashuka…
[Swahili] Njoo njoo njoo ooh Njoo kaka njoo baba, njoo mama njoo oh Tatizo lako umezunguka nalo sana Sehemu nyingi umezunguka Kwa Yesu sasa njooo (Njoo mama) Njoo ufanyiwe maombi…
[Swahili] ieyee yaah hayaa yeeh Tumekuja kukuchukua ieyee yaah hayaa yeeh Tumekuja kukuchukua Bibi harusi (Tumekuja kukuchukua) Bibi harusi twende mama (Tumekuja kukuchukua) Bibi harusi (Tumekuja kukuchukua) Wazazi wako tumeelewana…