Uko pamoja nasi Yesu
Najua umetuita zaidi ya washindi
Nitatembea naye, atembea nawe

Iyee iyee iyee safarini
Kwa Uwezo wake Mola nitafika

Safari ndefu yaanza kwa hatua moja
Wahenga walisema
Nikiokoka nachukua hatua ya kwanza
Ya safari ya mbinguni

Kuna changamoto
Kuna panda shuka
Lakini kwa uwezo
Wwake Yesu nitafika

Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika

Iyee iyee iyee safarini
Kwa Uwezo wake Mola nitafika

Neno linasema
Wewe kamwe hutaniacha Yesu
Utakaa nami kila hatua
Hatua eeh eh

Sitaogopa
Hata nipite uvulini mwa mauti
Watembea nami na kusema nami
Kunibeba Yesu nishike mkono
Kaa nami usiniache naomba

Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika

Nishike mkono
Iyee iyee iyee safarini
Nishike mkono
Kwa Uwezo wake Mola nitafika

Iye iyee iyee
Najua nitafika (Oooh)
Iye iyee iyee
Uko na mimi Yesu weee

Hakuna kama wewe
Yule rafiki wa karibu
Hakuna mwingine eeh

Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika

Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika

Iye iyee iyee safarini
Kwa uwezo wake Mola nitafika
Iye iyee iyee safarini
Kwa uwezo wake Mola nitafika

Song by Denno Featuring Eunice Njeri