[Swahili]
Ufumo hauwezi kukusaidia
Rafiki hawezi kukusaidia
Mukuyu () hawezi kukusaidia
Mpenzi hawezi kukusaidia
Usheshindwa, yo hilo
Kwa mwanadamu hilo hilo
Ulilete hilo, hilo
Kwa Bwana Yesu, hilo hilo
Amesema anatenda, umwamini
Hajawai acha neno lipotee
Alisema atatenda, nimeona
Hajawahi shindwa kitu mfalme
Pre-Chorus:
Ndio yake moja, inabadilisha maisha
Ndio yake moja, huleta amani
Akisema sawa, utaheshimishwa
Mwite tu, mwite tu, mwite tu
Refrain:
Yupo mwenye majibu
Yeye asiye lala
Ndio, kwake ni ndio
Hakuna, hakuna (Repeat)
Kiti cha enzi, Kiti cha sifa
Nyenyekea, utapata majibu
Kiti cha karne, zamani zote
Amini, amini, kuna jibu
Ameketi kwenye enzi
Hakuna jambo gumu tena
Kama afya, na uzima
Lolote, amini, amini
Anajua maumivu
Anaona na machozi
Yeye ni Baba, yeye mlezi
Daima, daima, daima
Pre-Chorus + Refrain
Tunapoandamia, tegemea, egemea – Bwana
Mbawani mwako ni salama, tena
Jemedari wa majeshi ya ushindi, ushinde lote
Tutashinda kwa heshima tena
Refrain:
Yupo mwenye majibu
Yeye asiye lala
Ndio, kwake ni ndio
Hakuna, hakuna
Song by Madam Flora And Goodluck Gozbert