Yesu ajua machungu yako
Ameona machozi yako
Asema niko nawe mpendwa
Usiogope chochote

Mwamini mwokozi ajua yote
Nakusihi mwachie akushugulie kamilifu

Ajua yaliyo moyoni mwako
Mateso umeyapitia
Ni mwema hatakuacha

Mwamini mwokozi ajua yote
Nakusihi mwachie akushugulie kamilifu

Song by The Saints Ministers