Umekuwa Mwema Lyrics – Matara The General Feat. Annastacia Mukabwa

Umekuwa mwema kwangu, mwema kwanguUmekuwa mwema kwangu, mwema kwanguUmekuwa mwema kwangu, mwema kwanguMwema, mwema, mwema, mwema kwangu Umekuwa mwema kwangu, mwema kwanguUmekuwa mwema kwangu, mwema kwanguUmekuwa mwema kwangu, mwema kwanguUmekuwa mwema kwangu, eeh mwema kwangu Maishani mwangu nimeuona mkono wakoKama si wewe sijui mimi ningekuwa wapiOh my God aki kudharauliwa na kuchekwaNikafika mwisho tegemeo langu … Read more

Dawa Lyrics – Annastacia Mukabwa

Hehehe kuna watu wenye majinaLakini walipokufa walisahauliwaLakini jina la Yesu ni jina la kipekeeUsisahau kuita jina la Yesu kila wakati Jina la Yesu dawa, jina la Yesu ni dawaJina la Yesu dawa, jina la Yesu ni dawaEeh ni dawa, jina la Yesu ni dawaNasema ni dawa tosha, jina la Yesu ni dawa Dawa inayosamehe dhambi, … Read more

Kiatu Kivue Lyrics – Annastacia Mukabwa Feat. Rose Muhando

Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivueMungu alinena naye Musa hicho kiatu kivueUlichotoka nacho kwa farao nakwambiaPahali hapa ni patakatifu hicho kiatu kivue Musa hicho kiatu, Musa hicho kiatuNataka ninene nawe, nataka nikutumieNataka nikuinue, nataka nikubarikiWatu wangu waangamia, taifa langu la IsraeliWatu wangu wanasononeka, watu wangu wanatesekaNataka nikutumie wewe, ukaokoe taifa langu we Hata leo … Read more

Utachipuka Tena Lyrics – Annastacia Mukabwa

Yaapo matumaini makubwa Kwa muuti, uliokatwa Yaapo matumaini makubwa Kwa muuti, uliokatwa Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Watu wengi wanaiona leo yangu Lakini kesho yangu wengi hawaijui Watu wengi wanaiona leo yangu Lakini kesho yangu wengi … Read more

Zinzilela Lyrics – Annastacia Mukabwa

[Swahili] Zinzilela makata na muye, zinzilela zinzilela Zinzilela makata na muye, zinzilela zinzilela Ee Bwana nakuinua,nikikumbuka ulikonitoa (Oh Lord I lift you up, when I remember where you saved me from) Kwenye maisha ya aibu, na kunifanya wa thamani (From the life of shame, and made me valuable) Ee Bwana nakuinua,nikikumbuka ulikonitoa (Oh Lord I … Read more

Tabu Zangu Lyrics – Annastacia Mukabwa And Rose Muhando

[Swahili] Haleluya naitazamia mbingu mpya na nchi mpya(Halelujah I look to the new heaven and earth)Huko nitapumzika milele (There I will rest forever) Taabu zangu zikiisha, nitamwona Bwana wangu(When my troubles are over, I will see my Lord)Akinikaribisha kule, karibu upumzike(When he welcomes me there, “welcome to the rest”)Hapa ndipo nyumbani kwako, hapa ndipo mahali … Read more

Utukuzwe Lyrics – Annastacia Mukabwa And Rose Muhando

[Swahili] Ee Mungu utukuzwe, milele na milele (Oh God be praised forevermore) Tena uinuliwe, katika mataifa yote (And be lifted up in all nations) Ee Mungu utukuzwe, milele na milele (Oh God be praised forevermore) Ee Mungu uinuliwe, milele na milele (Oh God be lifted forevermore) Tena uhimidiwe katika mataifa yote (And be worshiped in … Read more

Watangoja Sana Lyrics – Annastacia Mukabwa

[Swahili] Watangoja sana Wanaongoja kuanguka kwako Wanaongoja kushindwa kwako Wanaongoja umuache Yesu Wanaongoja uharibikiwe wacheke Waambie pole, pole pole Ninaye Yesu, ninaye mwokozi Waambie pole, pole pole Watangoja sana Yesu alipokufa akazikwa kaburini Wengi walicheka sana Wengine walisema “Si unajifanya ni mwana wa Mungu” “Hebu jifufue tukuone” Waliweka na walinzi walinde kaburi Ili Yesu asifufuke … Read more