Humble Lyrics – MASTERPIECE KING Feat. Otile Brown
I wait, I pray I grind I pray Every night and day I say the grace Hata kama kanipa kidogo go Si turungi chemsha mihogo go Sina presha, sina presha…
I wait, I pray I grind I pray Every night and day I say the grace Hata kama kanipa kidogo go Si turungi chemsha mihogo go Sina presha, sina presha…
Teddy B Binadam wanashangaza sana binadam Wameniweka kwenye corner bila plan Imani kwao sina imerun down Binadam wanashangaza sana binadam Wameniweka kwenye corner bila plan Imani kwao sina imerun down…
Ndugu zangu oh my mi nakwambia Duniani kuna watu bandia Nimewaona na sikudhania Hata mimi watanigeukia Vile God ananibless, aki walai Kwamba ndani nawakwaza Vile God ananibless, aki walai Kwamba…
Alright, Masterpiece OG (Its Jegede on the beat) Ngoma ni fire, nikupee pee pee Shika shika nikupee Everything for you, nikupee pee pee Shika shika nikupee Ngoma ni fire, nikupee…
Anytime ulizia yeah Bila God ni kulia eeh Na wakinigeuzia I know you got me God You got me God Anytime ulizia yeah Bila God ni kulia eeh Na wakinigeuzia…
Ni Branny, alright Masterpiece (Mavo on the Beat) Maisha si lazima niwe nabii Nimake simsima Bora hosi nisiwahi lala Mimi niko sawa no wahala Iwe December ama January Sina mapressure,…
Alright Alright Boom (Masterpiece, Masterpiece) Confidence, kichwa juu Confidence, kichwa juu Confidence, kichwa juu I know my father got me, kichwa juu Confidence, kichwa juu Confidence, kichwa juu Confidence, kichwa…
Wanadai kunitoka toka Lakini mi nacheki juu Nawaskia wakibonga bonga Lakini mi nacheki juu Ah buda cheki juu Oya cheki juu Ah buda cheki juu Oya cheki juu Naskia wameniblock…
Masterpiece, Mama Wambo (Its Jegede on the Beat) Tuko high bila ndom, high bila ndom High bila ndom, high bila ndom Tulihamaga Sodom, hamaga Sodom Tulihamaga Sodom, hamaga Sodom Tuko…