Cheki Juu Lyrics – Masterpiece King

Wanadai kunitoka toka
Lakini mi nacheki juu
Nawaskia wakibonga bonga
Lakini mi nacheki juu

Ah buda cheki juu
Oya cheki juu
Ah buda cheki juu
Oya cheki juu

Naskia wameniblock sawa
Wananibonga sawa
Wamenitoka sawa
Mi niko na buda sawa

If God is for me
Mi niko sawa nani
If God is for me
Mi niko sawa nani


Bring mpaka beiby
Mi nacheki juu anibebe
Bring mpaka beiby
Mi nacheki juu sina debe

Wanadai kunitoka toka
Lakini mi nacheki juu
Nawaskia wakibonga bonga
Lakini mi nacheki juu

Ah buda cheki juu
Oya cheki juu
Ah buda cheki juu
Oya cheki juu

Nacheki juu
Sheito akileta umama
Anabebwa juu juu

Nacheki juu
Sheito akileta umama
Anabebwa juu juu

Prokoto ameniweka high
Si msokoto
Ki prokoto
Nipate kanisani si kwa soko jo

Bring mpaka beiby
Mi nacheki juu anibebe
Bring mpaka beiby
Mi nacheki juu sina debe


Wanadai kunitoka toka
Lakini mi nacheki juu
Nawaskia wakibonga bonga
Lakini mi nacheki juu

Ah buda cheki juu
Oya cheki juu
Ah buda cheki juu
Oya cheki juu

So kila mtu(Cheki juu)
Ata ka we ni nani nani(Cheki juu)
So kila mtu(Cheki juu)
Unataka nini(Cheki juu)

So kila mtu(Cheki juu)
Ata ka we ni nani nani(Cheki juu)
So kila mtu(Cheki juu)
Unataka nini(Cheki juu)

Wanadai kunitoka toka
Lakini mi nacheki juu
Nawaskia wakibonga bonga
Lakini mi nacheki juu

Ah buda cheki juu
Oya cheki juu
Ah buda cheki juu
Oya cheki juu

Song by Masterpiece King