Safari Lyrics – Denno Featuring Eunice Njeri

Uko pamoja nasi YesuNajua umetuita zaidi ya washindiNitatembea naye, atembea nawe Iyee iyee iyee safariniKwa Uwezo wake Mola nitafika Safari ndefu yaanza kwa hatua mojaWahenga walisemaNikiokoka nachukua hatua ya kwanzaYa safari ya mbinguni Kuna changamotoKuna panda shukaLakini kwa uwezoWwake Yesu nitafika Shida nyingi safariniIngawa safari ngumu nitafikaShida nyingi safariniIngawa safari ngumu nitafika Iyee iyee iyee … Read more