NAOGOPA x TALK ABOUT LOVE Lyrics – DON SANTO
VERSE 1: Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa:|| Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki Umemteka kwa mali na cheki Kumbe vyombo anakula muuza magazeti Unajisifu umempata, kumbe alomuacha anamfuata Anachotaka anakipata, wanasema wala ana talaka … Read more