Kando Ya Mito (By the Rivers) Lyrics by Christina Shusho
(Sung in Swahili – A Psalm) Kando ya mito, ya Babeli (By the rivers of Babylon)Ndipo tulipoketi ( There ee sat)Tukalia, tulipokumbuka, kumbuka Sayuni (And there we wept) Katika miti…
(Sung in Swahili – A Psalm) Kando ya mito, ya Babeli (By the rivers of Babylon)Ndipo tulipoketi ( There ee sat)Tukalia, tulipokumbuka, kumbuka Sayuni (And there we wept) Katika miti…
https://youtu.be/y3Jl3CHdbn0 [In Swahili] Refrain:Ufanye imara, agano (Fulfill your covenant)Ufanye imara, agano (Fulfill your covenant)Eh Bwana (Oh Lord) Ufanya hima, na agano (Make haste with the Covenant)Nami, ewe Bwana (With me,…
YouTube video [(Tanzania) In Swahili] Refrain:Uko sawa Mungu wangu (You remain the same my God)Mchana usiku, wewe uko sawa tu (Morning and evening, You remain the same)Safarini hukuniacha (You did…
[Sung in Swahili – Psalm 35] Refrain: Eh Bwana utete nao wanao teta nami (Oh Lord, contend with those who contend with me) Upigane nao, wanao pigana nami (Fight those…
[Sung in Swahili] Siku ya tatu, ya harusi ya kana (On the third day in the Wedding at Cana) Mji wa Galilaya, na mamake Yesu alikuwepo (In the town of…
Mbosso: Nalifuta chozi kushoto Kulia latiririka Maumivu moyo wa moto Nafsi yatatarika Vilio wakubwa watoto Viyowe zinasikikika Wachonge zetu changamoto Wapi zitashikika Christina Shusho: Umelala iyoo, baba umelala wee Nenda…
Unikumbuke Baba Unapowazuru wengine naomba unikumbuke Usinipite Yesu Unapowazuru wengine naomba unikumbuke Unikumbuke Baba Unapowazuru wengine naomba unikumbuke Usinipite Yesu Unapowazuru wengine naomba unikumbuke Unikumbuke, unikumbuke Unikumbuke, unikumbuke Yesu naomba…
Eh Baba yangu Baba yangu, Mungu wangu Nakupenda, nakupenda Eeh Baba yangu Baba yangu, Mungu wangu Nakupenda, nakupenda Umeniokoa, baba yangu Umenisamehe dhambi, Mungu wangu Kweli nakupenda, nakupenda Nikitazama dunia…
Kitu gani kinitenge nawe Yesu Kitu gani kinitoe kwako Je ni dhiki sikuja na kitu duniani Je ni uchi nalizaliwa uchi Je ni njaa wengine wanakufa nayo Hakuna cha kunitenga…
Muimbieni Bwana wimbo mpya Maana ametenda mambo ya ajabu Muimbieni Bwana wimbo mpya Maana ametenda mambo ya ajabu Muimbieni Bwana wimbo mpya Maana ametenda mambo ya ajabu Muimbieni Bwana wimbo…
Nataka nikuone Yesu Karibu kwangu karibu Yesu Halleluyah Nataka nimuone Yesu Nataka nimuone Yesu Nataka nimuone Yesu Nataka nikuone Nataka nimuone Yesu Nataka nimuone Yesu Nataka nimuone Yesu Nataka nimuone…
Naona pendo kubwa mimi Latoka kwa mwokozi wangu Nipe kama maji mengi Yatembeavyo baharini Lanitolea tumaini Yakwamba nitajua Mungu Na niwe Mungu hodari tena Kwa pendo kubwa la mwokozi Lanitolea…
U mwema baba, umwema Yesu Umwema mwokozi wangu U mwema baba, umwema Yesu Umwema mwokozi wangu U mwema baba, umwema Yesu Umwema mwokozi wangu U mwema baba, umwema Yesu Umwema…
Songa mbele, twende mbingu Songa mbele usirudi nyuma Songa mbele usirudi nyuma Songa mbele usirudi nyuma Songa mbele usirudi nyuma We songa mbele twende Songa mbele usirudi nyuma Songa mbele…
Amen Amen, Amen Amen Amen Amen, Amen Amen Asante Yesu, Amen Amen Asante Yesu, Amen Amen Asante Yesu, Amen Amen Amen Amen, Amen Amen Amen Amen, Amen Amen Amen Amen,…
Umenifanya ning’are Umenifanya ning’are Umenifanya ning’are, Yesu Umenifanya ning’are Umenifanya ning’are Wewe umenifanya ning’are, Yesu Wewe waitwa nuru eti nuru ya watu Ukiingia kwangu, mi nang’ara Ndani ya hiyo nuru,…
Nimehesabu, Nakuhesabu Nimehesabu, Nakuhesabu Nimeongeza na kutoa Nikazidisha na kugawanya Nimeona ni wewe, Yesu ni wewe Nimeona ni wewe eh, Yesu ni wewe Hakuna mwingine ni wewe, Yesu ni wewe…
Tangu nikuwe tumboni mwa mama Mungu aliniona Na licha ya mavumbu na mapito Vikwazo kila kona Wakipanga mabaya anapangua Wema na wabaya anawajua Mitego wanatega anategua Na hali si zetu…
Alipokwisha kunena alimwambia Simoni Toweka mpaka kilindini kashushe nyavu zenyu Yesu lipokwisha kunena alimwambia Simoni Toweka mpaka kilindini kashushe nyavu zenyu Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha Bwana…
Omba, omba omba omba Omba, omba omba Omba, omba omba omba Omba, omba omba Mi nataka mimi nisafishe rada (Nisafishe rada) Nimeacha mbogi niko kwa fathela (Niko kwa fathela) Mambo…
Naona fahari kukuabudu Fahari kukuabudu Nasikia vizuri kuwa wako Vizuri kuwa wako Naona fahari kukuabudu Ni fahari kukuabudu Nasikia vizuri kuwa wako Eeh Yesu vizuri kuwa wako Naona fahari kutembea…
[In Swahili] Nimeona hofu imetanda dunia Hofu imetanda dunia Huku na huku mambo yamebadilika Mambo ni tofauti Tamaduni zetu si kama mwanzo Si vile tulivyozoea Aliye nacho analia, asiye nacho…
[Swahili] Refrain: Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe Mungu (You are worthy of worship and Honor) Wakupewa sifa, na utukufu, ni wewe Mungu (worthy to receive all praise and glory) Mungu mwenye…
[Swahili] Kurelax kurelax wee Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika Atanipa mahitaji yangu kwa kadiri ya utajiri wake Kwa kipimo cha…
[Swahili] Mwanangu usikubali wenye dhambi wakushawishi Mwanangu usikubali wenye dhambi wakushawishi Wakisema njoo nasi tuvizie ili kumwaga damu Tumwote asiye na haki, mwanangu usikubali Wana maneno matamu kama asali lakini…
[Swahili] Wataka akutendee nini? Akutendee nini wewe, Wataka akutende nini? Akutende nini wewe, "Neno moja nalitaka kwa Bwana nalo ni hili nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu" Gala…
[Swahili] Napenda nione ukinitendea, Napenda nione ukinibariki Napenda nione ukiniinua, Kila kitu kwako mimi napenda Napenda nione ukiniponya, Napenda nione ukinifariji Napenda nione ukiniinua, Kila kitu kwako Bwana mimi napenda…
[Swahili] Nimehesabu na kuhesabu Nimehesabu na kuhesabu Nimeongeza na kutoa Nikazidisha na kugawanya Nimeona ni wewe Yesu ni wewe tu Hakuna mwingine Yesu ni wewe tu Pekee yako ni wewe…
[Swahili] Hapo mwanzo kulikwa na neno naye neno alikuwa kwa mungu na tena neno huyu alikuwa mungu naye neno alifanyika mwili akaja akakaa kwetu tukauona utukufu wake mwana kondoo yohana…
[Swahili] Hatua za mwenye haki zaongozwa naye Bwana Na Bwana hufurahia njia zake wakati wote Hatua za mwenye haki zaongozwa naye Bwana Na Bwana hufurahia njia zake wakati wote Nakukabidhi…
[Swahili] Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe mungu Wakupewa sifa, na utukufu ni wewe mungu Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote Hakuna mwingine, wakulinganishwa na wewe mungu (rudia) Umesema wewe, jina lako…
[In Swahili] Refrain: Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are (You make me shine) Umenifanya ning’are, Yesu (Jesus You make me shine)(Repeat) Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu (You are called the…
[In Swahili] Unikumbuke Baba, (Father remember me) Unapowazuru wengine naomba unikumbuke (When you visit others I pray – remember me) Usinipite Yesu (Do not pass me by Jesus) Unapowazuru wengine…
[In Swahili] Ezekieli akiwa katika Roho (Ezekiel when in a vision) Bwana akamweka chini (God placed him down) Katika bonde nalo limejaa mifupa (In a valley full of bones) Kamwambia…
[In Swahili] Refrain:Yote alimaliza, yote msalabani(He finished all at the cross) (Repeat) Response: The RefrainDhiki zetu zote, alimaliza yote msalabani(All our troubles he finished it at the Cross)Vilio vyetu vyote,…
[In Swahili] Si kwa bahati mbaya uko hai leo (It is not by chance that you are alive today) Na si kwamba wewe ni mjanja kuliko wale waliolala (It’s not…
[In Swahili] Refrain: Nitendee (Do unto me) x4 Nitendee, Nitendee eh Bwana (Do unto me, Lord) Nitendee, Nitendee (Do unto me) Nitendee Bwana (Do unto me Lord) x2 Nitendee nalia,…