Zamu ni yangu ya huduma, zamu ni yetu ya huduma,
sitakimya sitalegea nitasimama niende
zamu ni yangu ya Huduma
sitakimya sitalegea nitasimama niende
zamu ni yangu ya Huduma
Bridge:
Mwanzilishi wa huduma hii,
Mwana wa Mungu alihudumu kwa wote
Aliyeshuka alipaa juu mbinguni avijaze vyote, Akatoa mitume manabii, wachungaji, wainjilisti, na walimu
Zamu ni yangu ya huduma, zamu ni yetu ya huduma,
sitakimya sitalegea nitasimama niende
zamu ni yangu ya Huduma
sitakimya sitalegea nitasimama niende
zamu ni yangu ya Huduma
Stanza 2
Kwa kusudi la kuwakamilisha, watakatifu wote,
Hata kazi ya Huduma, itendeke, hata mwili wa Kristo, ujengwe
Bridge:
Mwanzilishi wa huduma hii, mwana wa Mungu alihudumu kwa wote
Hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa Imani, na kumfahamu sana Mwana wa Mungu mkamilifu, tufikie kimo chake cha utimilifu
Zamu ni yangu ya huduma, zamu ni yetu ya huduma,
sitakimya sitalegea nitasimama niende
zamu ni yangu ya Huduma
sitakimya sitalegea nitasimama niende
zamu ni yangu ya Huduma
Stanza 3
Kwa maana nilikuwa njaa hukunilisha, Nilikuwa na kiu hukuninywesha
Mgeni kwako mimi sikukaribishwa
Uchi wangu hukunivika
Nilikuwa hospitali sikutembelewa,
Kifungoni nilikuwa hukunijia
Muda ni sasa Mwenzangu hudumu kwa wote,
ili siku ya mwisho uwe mrithi
Zamu ni yangu ya huduma, zamu ni yako ya huduma,
sitakimya sitalegea nitasimama niende
zamu ni yangu ya Huduma
sitakimya sitalegea nitasimama niende
zamu ni yangu ya Huduma
Song by The Saints Ministers