[Swahili]
Ewe mungu wa miungu, umetukuka,
Muumbaji wa vyote duniani na mbingu,
Tunaa kuinamiya x2
Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu
Utukufu na heshima,
kwako eeh we mungu,
Pia nguvu na shukrani,
kwako ewe mungu
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu
Mtakatifu mwaminifu,
Tunakuinamia, El-shaddai….
Adonai…, Alfa na Omega x2
Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme, Mwenye enzi tunakuabudu
Song by Mercy Linah