Love On Fire Lyrics – Walter Chilambo
[Swahili, English] Hivi nakupendaje? (How much do I love You!) Hata mwenyewe sijielewi (So much that even I cannot understand myself) Ninakupendaje? Namna hii Bwana (How much do I love…
Walter Chilambo is a Tanzanian gospel musician and songwriter. He is known for his uplifting and inspiring music that combines traditional African rhythms and melodies with contemporary gospel lyrics. Chilambo has released several popular albums, including “Moyo Wangu,” “Masha Masha,” and “Natamani Kuingia Mbinguni.” He has won multiple awards for his music, including the Groove Awards Tanzania for Best Gospel Song in 2015 and 2017. Chilambo’s music is popular not only in Tanzania but also in other countries in East Africa and around the world.
Below are all his Christian song lyrics on Myopfinding.
[Swahili, English] Hivi nakupendaje? (How much do I love You!) Hata mwenyewe sijielewi (So much that even I cannot understand myself) Ninakupendaje? Namna hii Bwana (How much do I love…
Eh Mungu asante kwa nchi yetu Tanzania (Asante) Ni wewe uliyeumba mataifa yote Ikiwemo Tanzania Umetubariki umoja na amani Uzalendo mshikamano Kama bendera inavyopepea Ni ishara ya kwamba Tanzania ni…
Ee Bwana nainamisha kichwa changu Ninakuabudu we Na tena nainua mikono yangu Kukuadhimisha we Na ninashuka kwa unyenyekevu Madhahabuni pako Maana majibu ya maswali yangu Baba nitapata kwako Kwanza nahitaji…
Umenitoa mbali Kusiko julikana Kwa Neema yako Isiyosemekana Umenitoa kule kusikojulikana Kwa upendo wako Usiosemekana Ni Muujiza Mi kufika hapa Ni Muujiza Mi kuwa hai Ni Muujiza Kupendwa na wewe…
Asante Yesu Libarikiwe jina lako bwana Uinuliwe Bwana Mungu Baba Mtakatifu Uliemwema na mkamilifu Mungu Baba na Roho Mtakatifu Uletae uhai Mfariji wa kweli Wewe ulietabibu Unaeganga mioyo yetu Uliemwema…
Aah, aah, aah Nilikuwa nikingoja wapi itatokea Faraja ya kweli Nilikuwa nikingoja wapi itatokea Furaha ya kweli Nilijua labda pesa itanifariji Nilijua labda wingi wa marafiki Nilojua nyumba na magari…
Kama Mungu angechangua watu wake Mimi singekuwepo duniani Kama Mungu angechagua watakatifu Mimi singekuwepo duniani Chorus: Mimi binadamu, wala si malaika Mengi nimekosea na kukuchukiza Mi nafanya mambo yasiyo stahili…
Cha kutumaini sina Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha Cha kutumaini sina Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha (Kwake Yesu…
Huh huh huh huh huh huh (uuuuh uh uh) Huh huh huh huh huh huh tututurururutu Huh huh huh huh huh huh Oooh wooo Merry Christmas and a Happy New…
Iyee mmhh eh, iye mm eeh (Aaah) Iyee mmhh eh (aaaah) Hmmmm Maisha yangu Yana wewe Mungu Tumaini la moyo Kwako mim nimeliweka Msaada Wa karibu bwana Nitakusifu wewe tu…
Ningekuwa na mali Magari ya kifari Bila amani Ninajivunia nini? yeah Pesa nyingi Nyumba na biashara Bila amani, yeah yeah Si mali kitu kama unaishi unalia ndani yako Kwa maumivu…
Yelelelelee yeleleeeeleee Yeleeeeee yeleeeleeeleee Oh you are, you are God you are God of mercy You are God oh, you are God of mercy You are, you are God of…
Wacha niseme, we ni namba moja Umenifanya wa thamani wa pekee Hakuna kama we, na sioni mwingine tena Wakufanana nae, ila ni wewe bwana Wakufanana nae, ila ni wewe bwana…
Sijawahi ona zaidi yako Shammah Sijawahi kuona kama wewe Baba Sijawahi kuona sifa za lako jina Simba kabila la Yuda, ooh mwamba Unayefanya maajabu yaliyoshindikana Kwa jina lako eeh Unayetenda…
Aaahhh Thank you Jesus Thank You Lord, Hallelujah Sijaona Kama wewe sijaona Sijaona kama weweee bwanaa Chorus: Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe eehh Bwana (Sijaona kama wewe eeehhh…
[In Swahili] Asante Mungu, wewe ni mwema (Thank You God, You are good) Umenipa uzima, na kunipenda (You have given me life and loved me) Moyoni mwangu nina amani tena…
[In Swahili] Kama Mungu angechangua watu wake (If God selected His people) Mimi singekuwepo duniani (I would not be here on earth) Kama Mungu angechagua watakatifu (If God selected the…