Backslide Lyrics – Ringtone Apoko Feat. Martha Mwaipaja

Kubackslide haiwezekani, haiwezekani Kurudi nyuma kwangu, haiwezekani Haiwezekani kurudi nyuma kwangu, haiwezekani Haiwezekani kweli haiwezekani Nimetoka mbali, inaenda mbali Shida nilizopitia ni kali Mungu wangu akakubali Eti nitoke chini nice…

  • Reading time:2 mins read

Omba Lyrics – Ringtone Feat. Christina Shusho

Omba, omba omba omba Omba, omba omba Omba, omba omba omba Omba, omba omba Mi nataka mimi nisafishe rada (Nisafishe rada) Nimeacha mbogi niko kwa fathela (Niko kwa fathela) Mambo…

  • Reading time:2 mins read

Kesho Yako Lyrics – Ringtone

Mungu ako kazini (ooh mama ooh)Kwa ajili yako (ooh mama ooh)Mungu ako kazini (ooh mama ooh)Anakushughulikia (ooh mama ooh) Kesho yako itang'ara kushinda leoKesho yako wee, itang'ara kushinda leoKesho yako…

  • Reading time:2 mins read

Natafuta Bibi Lyrics – Ringtone

Oa, oa, yeah yeah Ringtone, mwana Ringtone Natafuta bibi, nisaidie Natafuta bibi, mniombee Natafuta bibi, pastor nisaidie Natafuta bibi, mniombee Natafuta bibi anayempenda Mungu (Oooh) Hapendi fitina anapenda watu (Oooh)…

  • Reading time:1 min read

Walionicheka Lyrics – Ringtone feat. Rose Muhando

Masimango na maneno makali Yalikuwa ndio fungu langu Shida, taabu Ziliumiza moyo wangu Masimango na maneno makali Yalikuwa ndio fungu langu Maumivu ya moyo Yaliinamisha nafsi yangu Asante Yesu Kwa…

  • Reading time:2 mins read

Zoea Mawe Lyrics – Ringtone

Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe Ni wengi…

  • Reading time:2 mins read

Ipo Siku (Remix) Lyrics – Goodluck Gozbert

Haijalishi kama umetoka Mwanza (Nibarikiwe) Dar es salaam ama Nairobi Kenya(Nibarikiwe) Verse 1: (Goodluck Gozbert) Ni mbali nimetoka Tena ni ajabu kuwa hai Maana ningeshakufaga Ni mengi nimeona Tena ya…

  • Reading time:2 mins read

Wacha Iwe Lyrics – Ringtone

[Swahili] Ringtone: Kisha shida kwako muwezi pika Chunga shida kwako muwezi lala Hayo yote ushuhuda, Mungu anakutengenezea, mwisho ushinde, Mambo unapitia,yanakufanya uzimie, yanakufanya we ulie,unajiuliza ako wapi? huyu Mungu ,wamuita…

  • Reading time:2 mins read

Tenda Wema Lyrics – Ringtone

[Swahili] Tenda wema nenda zake wee Usisahau Mungu anaona Siku kuhukumu kuwa itafika Mayatima umesomesha sana Wenye shida umesaidia wote Wenye njaa umewapa chakula Nguo zako umepeana zote Hakuna anayetambua…

  • Reading time:1 min read

This Year Lyrics – Ringtone

[In English & Swahili] Refrain: Naona this year eeh, nitabarikiwa (I foresee that this year I will be blessed) Naona this year aah, wewe utashinda (I foresee that this year,…

  • Reading time:2 mins read