Nasema Asante Lyrics – Chris Mwahangila
Huu wimbo ni wimbo wa shukurani Usikie Mungu wangu Niseme nini kwako? Nilipe nini kwako Sina cha kulipa mbele zako Mungu wangu Huu wimbo, huu wimbo Ni shukurani ni shukurani…
Huu wimbo ni wimbo wa shukurani Usikie Mungu wangu Niseme nini kwako? Nilipe nini kwako Sina cha kulipa mbele zako Mungu wangu Huu wimbo, huu wimbo Ni shukurani ni shukurani…
Moyo furahi, moyo furahi Moyo furahi Mungu amekutendea Moyo imba, imba moyo imba Mungu amekutendea Moyo furahi, moyo furahi Moyo furahi Mungu amekutendea Moyo imba, imba moyo imba Mungu amekutendea…
Petro na Yohana walikuwa wakikwea Majira ya saa tisa kwenda hekeluni kusali Petro na Yohana walikuwa wakikwea Majira ya saa tisa kwenda hekeluni kusali Katika mlango uitwao mzuri Palikuwa na…
Yaapo matumaini makubwa Kwa muuti, uliokatwa Yaapo matumaini makubwa Kwa muuti, uliokatwa Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Kwa harufu ya maji, utachipuka tena…
[Swahili] Ooh Kweli na kwamba Danieli Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali Ooh Kweli na kwamba Danieli Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali Mbali na kwamba Shedraki na…
[Swahili] Nabii Elijah, aliwaita manabii wote,wa Mungu baali Lengo la elija,ilikuwa ni kumthibitisha Mungu wa kweli ni yupi, kati ya Mungu wa baali, na Mungu wa mbinguni. Akawambia watu nikaribieni…
[Swahili] Refrain: Nitetee Mungu, nitetee Baba (Defend me God, Father defend me) Nitetee Mungu wangu, Bwana (Advocate for me my Lord God) (Repeat) Nitetee Mungu wangu (Defend me my God)…