[Swahili]

Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada yangu watoka wapi?
Ninajua ni kwake Bwana

Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada yangu watoka wapi
_Ninajua ni kwake Bwana_

Anilindaye halali
Ninajua hasinzii
Nitokapo niingiapo
Kweli najua ninajua yuko nami

Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada yangu watoka wapi?
Ninajua ni kwake Bwana

Yeye ni Bwana wa mabwana
Yeye Mfalme wa wafalme
Mshauri wa ajabu
Kimbilio maishani

Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada yangu watoka wapi?
Ninajua ni kwake Bwana

Written by Lydia Njeri, a friend of Reuben Kigame, 2000.