Si rahisi si rahisi
Kutoka nilikotoka si rahisi
Ni vigumu, ni vigumu
Mahali nilipofika ni vigumu

Si rahisi si rahisi
Kutoka nilikotoka si rahisi
Ni vigumu, ni vigumu
Kuwa hivi nilivyo ni vigumu

Imegharimu mkono wa Bwana
Kufika hapa nilipo si rahisi
Imegharimu wema wa Mungu
Kuwa hivi nilivyo ni vigumu

Imegharimu mkono wa Bwana
Kufika hapa nilipo si rahisi
Imegharimu wema wa Mungu
Kuwa hivi nilivyo ni vigumu

Si rahisi si rahisi
Kufika hapa nilipo si rahisi
Ni vigumu, ni vigumu
Kuwa hivi nilivyo ni vigumu

Umegeuza daraja ya mambo
Umebadilisha na mipango
Umegeuza daraja ya mambo
Umebadilisha nia mipango

Waliosema hayawezekani
Leo yanawezekana
Walitabiri hayawezekani
Lakini kwako yamewezekana

Huruma yako tu
Kuwa hivi nilivyo huruma yako tu
Ni neema yako tu
Kuwa hivi nilivyo ni neema yako tu

Si kwa akili zangu, si kwa uwezo wangu
Si kwa kutaka kwangu bali rehema yako tu
Huruma yako tu, neema yako tu
Huruma yako tu, kuwa hivi nilivyo huruma yako tu

Nafsi yangu mhimidi bwana
Tulia kwa bwana, mtukuze bwana
Mhimidi bwana

Ametenda mambo ya ajabu
Maisha yangu mambo ya ajabu
Amefanya mambo ya ajabu
Mbele ya adui mambo ya ajabu

Yanipasa kushukuru
Yanipasa kumwinua
Yanipasa kushukuru
Yanipasa kumwinua Mungu

Ni kwa wema, ni kwa wema
Jamani ni kwa wema wa Mungu, ni kwa wema
Kuimba ni kwa wema wa Mungu, ni kwa wema
Hivi nilivyo ni kwa wema
Wa Mungu ni kwa wema

Ni kwa wema, ni kwa wema
Ni kwa wema, ni kwa wema
Ni kwa wema, ni kwa wema
Ni kwa wema, ni kwa wema

Ni kwa wema, ni kwa wema
Ni kwa wema, ni kwa wema
Ni kwa wema, ni kwa wema
Ni kwa wema, ni kwa wema

Song by Moses Nyaga Featuring Rose Muhando