Jawabu Studios
Neno, neno, neno, neno, neno la Mungu
Limetuchonga chonga
Limetutengeneza, limetutengeneza
Limetuchonga chonga
Limetutengeneza, limetutengeneza
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha eeh
Hapo mwanzo palikuwa na neno
Hapo mwanzo palikuwa na neno
Nalo neno lilikuwa Mungu
Nalo neno lilikuwa Mungu
Wachawi wote, hawataweza
Wachawi wote, hawataweza
Mpinga Kristo hataweza
Halipingiki, halipingiki
Neno, neno, ni nyundo
Mamamamamama
Ni upanga
Ukatao kuwili kuwili
Lainisha, ah lainisha
Linalainisha, linasawazisha
Ah linaweza, lina maarifa
Sikilize na neno lake
Sikilize Mungu analo neno
Neno la Mungu ni taa yako
Neno la Mungu ni uzima wa milele
Neno la Mungu ni mwanga wa njia zako
Hulainisha, hulainisha,
Lainisha, lainisha eeeh
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha eeh
Neno, neno, neno, neno, neno la Mungu
Limetuchonga chonga
Limetutengeneza, limetutengeneza
Limetuchonga chonga
Limetutengeneza, limetutengeneza
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha eeh….
Song by Fenny Kerubo Feat. Rose Muhando