[In Swahili]
Nitayainua macho yangu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi (toka wapi eeeh…)
Msaada wangu ni katika weeee
Usiye acha nipoteee chini ya msalaba wako
Nitayainua macho yangu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi
Msaada wangu ni katika weeee
Usiye acha nipoteee chini ya msalaba wako
Choir:
When you say
Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako
Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako
Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako
Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako
Paul Clement:
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako
Choir:
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako
Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako
Hatahili litapita
Hata yale yalivyopita
Chini ya msalaba wako
Halleluyah
Song by Dr. Ipyana Feat. Paul Clement