Hakuna jambo ambalo ni gumu kwako
Hakuna jambo ambalo ni gumu kwako
Hakuna jambo ambalo ni gumu kwako
Hakuna jambo ambalo ni gumu kwako

Najivunia nawe Mungu wa amani yangu
Niwewe usiyeshindwa
Najivunia nawe Mungu wa mwenye haki
Niwewe Bwana (Ni wewe wakuabudiwa)
Najivunia nawe Mungu wa upendo
Niwewe usiyeshindwa

Hakuna jambo ambalo ni gumu kwako
Hakuna jambo ambalo ni gumu kwako
Hakuna jambo ambalo ni gumu kwako
Hakuna jambo ambalo ni gumu kwako

Niwewe usiyeshindwa
Ni wewe wa kupewa sifa Bwana
Niwewe usiyeshindwa

Ni wewe wa kupewa sifa
Niwewe usiyeshindwa
Ni wewe wa kupewa sifa

Song by Essence Of Worship