Donjo Lyrics – Daddy Owen

Namuona na gari kubwa kuliko shida zake
Namuona na wanawake (wanawake)
Alisema hakuna mungu watu wajipange, anadhani ni nguvu zake
Akigonjeka dakitari anatoka ng’ambo
Akiboeka apo utaona mambo, maombi kwake ni kelele
Ndio nimeona nikueleze

Ooh hashtag #Nebucchadnezzar
Sauli pia atakueleza
Nasema hashtag #Nebucchadnezzar
Haijalishi yale umewezaa
Yote ni vanity ooh ooh
Vanity ooh, bila yesu ni vanity
Ooh ooh Vanity

Namuona na sketi fupi kuliko miaka yake
Anataka tumeze mate
Alisema mmoja hawezi zima moto wake
Ana wanaume wanane
Haumpati kanisani ila ile siku ya harambee ya Asusu, Asusu eeh Asusu
Haamini mungu yupo yeye husema atalishwa na matunda ya usupu usupu eeh usupuu

Usimdharau binadamu mwenzio, kuwa eti wewe unapesa, Mali na magari
Haya yote ni ubatili, shukuru mungu kwa uhai
Usijisifu sana na huu mwili, huu mwili ni chakula cha mchwa


Song by Daddy Owen