Amenijibu Lyrics – Gripa Music Feat. Beda Andrew

Jamani nina ushuhuda Mwenzenu nataka shuhudia Huyu Mungu ninaye muamini Alichonitenda nashindwa elezea Kwa muda mrefu nimekuwa nikiomba Nikiamini atatenda kwa wakati wake ee Sababu hawahi wala hachelewi Akiahidi lazima…

  • Reading time:1 min read

Nguvu Za Mungu Lyrics – Beda Andrew

Rafiki hivi unavyoniona Ni kwa neema tu Na hata uzima nilio nao Ni upendeleo tu Na kufika hapa sio sababu ya kuwa Mimi ni mwema sana (Kuliko wale) Tena natambua…

  • Reading time:2 mins read

Happy Happy Lyrics – Beda Andrew

Am happy happy the way you love me This kind of love nobody can give The way you do me do me nobody can do I am forever indebted to…

  • Reading time:2 mins read

Nayaweza Lyrics – Beda Andrew

Baba amesema kwamba, tumwite nae atasikia Tena amesema kwamba tukimwomba jambo atatutendea Baba amesema kwamba, tumwite nae atasikia Tena amesema kwamba tukimwomba jambo atatutendea Ila tuwe na imani nayeye Tukiamini…

  • Reading time:1 min read

Mbali Sana Lyrics – Beda Andrew

Na na na na... Nalikuwa sijiwezi unyonge ulinilemea Sikuwa na tumaini ya mbele kuendelea Imani ilififia sikuona kabisa Kama moja ya nyenzo iliyotikisika aah Nalikosa tabasamu usoni Tegemeo sikuona maishani…

  • Reading time:1 min read