Wimbo Wangu Lyrics – Alice Kamande
Wewe ndiwe wimbo wangu Wewe ndiwe wimbo wangu Wimbo wangu, wimbo wangu Nitaimba sifa zako tu Sifa zako tu, sifa zako tu Sitaki kuenda mbali nawe Bila nawe sitaweza pekee Wewe unanifaa Wewe ndiwe amani yangu Kando yako sina mwingine Taa ya njia yangu Wewe ndiwe wimbo wangu Wimbo wangu, wimbo wangu Nitaimba sifa zako … Read more