Mtukuze Mungu Lyrics – Sifaeli Mwabuka

YouTube video Natamani kusema na wewe hapo ulipo(I desire to speak with you where you are)Shauku yangu nizungumze na wewe kama unanisikia(My passion is to speak with you, (If you…

  • Reading time:2 mins read

Shuka Tukuone Mungu Wetu Lyrics – Sifaeli Mwabuka

[Sung in Swahili] Mungu asiyeona kushindwa (Unconquerable God) Kwenye tatizo/shida lako (Even in your troubles) Ili utukufu wake, abaki kuwa Mungu (So that His Glory, he remains being God) (Repeat)…

  • Reading time:3 mins read

Tunaye Mungu Anayejibu Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Tunaye huyu Mungu tunaye Tunaye anayejibu maombi yetu Tunaye huyu Mungu tunaye Tunaye anayejibu maombi yetu Tunaye huyu Mungu tunaye Tunaye anayejibu maombi yetu Tunaye huyu Mungu tunaye Tunaye anayejibu…

  • Reading time:2 mins read

Nina Haja Na Wewe Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Ni wengi wameniandama kila kona usiku na mchana Baba peke yangu mimi sitoweza Mitego wameiweka kwenye njia zangu Yesu Baba peke yangu mimi sitoweza Ni wengi wameniandama kila kona usiku…

  • Reading time:1 min read

Utukufu Ni Wako Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Acha mimi nikushukuru wewe Mungu Uliyenitunza toka utoto wangu Ukanichagua tumboni mwa mama Umeniweka kwenye kusudi lako nisimame Acha mimi nikushukuru wewe Mungu Uliyenitunza toka utoto wangu Ukanichagua tumboni mwa…

  • Reading time:2 mins read

Washangaze wajue Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Walijua nitabaki Kama nilivyo Walidhani sitoweza kusimama Tena (2x) Yalikua Ni maneno yyao hao wanadamu Ilikua Ni mipango yao hao wanadamu Yalikua Ni maneno yao hao wanadamu Yalikua Ni mipango…

  • Reading time:1 min read

Nipeni Mda Kwanza Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu Nipeni mda kwanza ili niseme naye Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu Nipeni mda kwanza ili niseme naye Majibu ya dakitari yamesema siwezi kupona Nipeni mda…

  • Reading time:2 mins read

Wakati Wangu Ni Lini Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Ninajiuliza sana Ninajiuliza kila siku Wakati wangu ni lini? Wakati wangu ni lini? Ninajiuliza sana Ninajiuliza kila siku Wakati wangu ni lini? Wakati wangu ni lini? Eeh Wakati wa kukutana…

  • Reading time:2 mins read

Mimi Ni Nani Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Mimi ni nani Mungu wangu Mimi ni nani? Mimi ni nani Yesu wangu Mimi ni nani? Mimi ni nani Mungu wangu Mimi ni nani? Mimi ni nani Yesu wangu Mimi…

  • Reading time:2 mins read

Herode Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Herode mfalme wa Waisraeli Herode mfalme wa Waisraeli Alisikia habari kutoka kwa mama wajuzi Alisikia habari kutoka kwa mama wajuzi Yakwamba katika hori amezaliwa mtoto Yakwamba katika hori amezaliwa mtoto…

  • Reading time:2 mins read

Mtukuze Mungu Tu Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Natamani kusema na wewe hapo ulipo Shauku yangu nizungumze na wewe Kama unanisikia Oooh natamani kusema na wewe hapo ulipo Shauku yangu nizungumze na wewe kama unanisikia Vile ulivyo ni…

  • Reading time:2 mins read