Pokea Sifa /Uhimidiwe (Receive Praise/Be Exalted) Lyrics – Kidum

YouTube video [Swahili] Nimekuja hapa mbele zako Bwana, kukupea sifa(I have come before You Lord, to give you praise)Ninajua kwamba niko mwenye dhambi, naomba unisamehe(I know that I am sinful, I pray that You forgive me)Utukufu wako, hauna kifani(Your Glory, cannot be measured)Huruma na upendo wako, kwa walimwengu(Your mercy and love towards us)Hulinganishwi na chochote, … Read more

Namba Moja Lyrics – Kidum

YouTube video [Swahili] Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu Ni namba moja, moja moja, moja. Nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona Nimejaribu kutafutakinachoweza kuridhisha moyo wangu, Nikatanga tanga masharikina kusini ili muundaji nitafute Nikamanga manga magharibi kaskazini, kupata kile ninachotaka wimbo. Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu Ni namba moja, moja moja, moja. Juhudi … Read more

Nipe Nguvu Lyrics – Kidum

YouTube video [Swahili] Papa Mungu Baba ah Siku nyingi nimekaa nikijiuliza ah Upendo wako Baba kwa walimwengu Wewe ni mwema, Baba wa huruma Muumba wa mbingu na dunia Mwanzo na mwisho Sisi watoto twakusifu, twakuabudu Ndiyo sababu twasema asante Nishike mkono nisianguke Nahitaji msaada kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu Baba Niwe wako, niwe wako … Read more