Sitalia Lyrics – Irene Robert Feat. Christina Shusho
Tangu nikuwe tumboni mwa mama Mungu aliniona Na licha ya mavumbu na mapito Vikwazo kila kona Wakipanga mabaya anapangua Wema na wabaya anawajua Mitego wanatega anategua Na hali si zetu…
Tangu nikuwe tumboni mwa mama Mungu aliniona Na licha ya mavumbu na mapito Vikwazo kila kona Wakipanga mabaya anapangua Wema na wabaya anawajua Mitego wanatega anategua Na hali si zetu…
Kabla sijakupata Niiupa imani moyo utulie Sa niko hapa Ni kwa nguvu zako tu Niliteseka sana Baba ukaniona Fedheha ukaondoa Maombi ukayajibu Umetenda kwa ukuu Bwana(Umetenda) Na ukweli sikutegemea(Sikutegemea) Umetenda…