YESU (Jesus) Lyrics – Evelyn Wanjiru
Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus,…
Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus, Jesus, Jesus Jesus, Jesus,…
Nanyenyekea baba utukuke Nanyenyekea baba utukuke Wastahili ibada yangu Wastahili heshima yangu Wastahili ibada yangu Wastahili heshima yangu Nanyenyekea baba utukuke Nanyenyekea baba utukuke Wastahili ibada yangu Wastahili heshima yangu…
All to Jesus I surrender All to Him I freely give I will ever love and trust Him In His presence daily live I surrender all I surrender all All…
Aaaaa aaa aaaa When I go to the East they call you Mungu, Mukama, Imana When I go to the West they call you Oluwa, Nyame And when I go…
I'm winning everyday All because his favour is smiling on me And when I thought of giving up He did another Miracle for me Choir: I'm winning everyday All because…
Baba Inuka, Tawala Simba wa yudah Tawala Mfalme wa sayuni, tawala (Baba Inuka, Tawala Simba wa yudah Tawala Mfalme wa sayuni, tawala) Hausinzii wala haulali, ewe mlinzi wangu Umenizunguka pande…
Halleluya Halleluya Halleluya Halleluya At the sound of your voice Every mountain comes down Tumbling tumbling tumbling tumbling You are the King of Kings Halleluuuya Halleluya Halleluya Halleluya Halleluya Maserafi…
Who is worthy to break the seal, None in heaven or under the earth Lion of judah,Jesus All of the glory all of the power And all the honor and…
[In Swahili] Bwana unafurahisha moyo wangu Ninayo sababu ya kuimba Pumzi umenipa, furaha ukanipa Dhambi zangu kaondoa (Repeat) Ndio maana nasema Refrain: Yesu amenibariki Yesu ameninua Nikiwa naye moyoni Sitaogopa…
[Swahili, English] INTRO Oh it’s gonna be alright Do you ever wonder How the birds of the air survive ,they don't reap,sow or work for nothing eeh kila kitu sawa…
[Swahili] Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah Nataka…
[Swahili] Matendo yako yanatisha Matendo yako yanatisha Matendo yako Baba yanatisha Matendo yako yanatisha Matendo yako yanatisha Nimesikia habari zako Nashuhudia kazi zako Yale umetena yote umesema Ni ishara kwamba…
[Swahili, English] You are my strength, You are my Joy Jehovah Elohim, You are my God You are my strength, You are my Joy Jehovah Elohim, You are my God…
[Swahili] Tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako Upitapo chini ya uvuli wa mauti usiwe na Hofu asema Bwana yuko pamoja nawe atembea nawe, afuta machozi Tulia, ujue yeye…
[Swahili] Tunakuabudu tunakuabudu tunakuabudu Mwenye enzi Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu Tunakuabudu tunakuabudu tunakuabudu Mwenye…
[Swahili,English] Celebrate Jesus, celebrate Jesus Celebrate Jesus, celebrate Jesus Shangilia Yesu, shangilia Yesu Shangilia Yesu, shangilia Yesu Shangilia shangilia Shangilia Yesu, shangilia Yesu Ametenda makuu, makuu (eeeh) makuu (eeh) Ametenda…
[Swahili] Zaidi ya yote Utabaki kuwa Mungu mkuu Alfa na Omega Hubadiliki kamwe x2 Nikitazama nyuma na mbele Naona ukuu wako Kaskazini, kusini pia naona ukuu wako Magharibi nako mashariki…
[Swahili] Waweza waweza waweza mwokozi waweza mambo yote wewe mwaminifu Bwana Mungu wangu weee umenikombowa eee umeniwezesha mimi wewe ni mkuu ukaniita kwa jina langu eeeee ukaniwezesha bwana eee nikuabudu…