Haiwezani Lyrics – David Wonder

Ulisema utakuja kutuokoa sisi wako watu Ukasema, tutakusulubisha baada kukana mara tatu Ulisema utakuja kutuokoa sisi wako watu Ukasema, tutakusulubisha baada kukana mara tatu Baada miujiza si kuona Na vipofu wagonjwa wakapona Viwete kuinuka na kusonga Nyuma yako walipanga kukumurder Baada miujiza si kuona Na vipofu wagonjwa wakapona Viwete kuinuka na kusonga Nyuma yako walipanga … Read more

Pande Lyrics – David Wonder Feat. Moji Shortbabaa

Nitabaki hii pande Nitabaki hii pande Nitabaki hii pande Nitabaki hii nionane na Yesu Nitabaki hii pande Nitabaki hii pande Nitabaki hii pande Nitabaki hii nionane na Yesu (Alexis on the Beat) Nimeng'ang'ana na wokovu wangu Nikianguka nainuka nasonga (Songa sana) Nimepambana ingawa moyo wangu Unaamini saa zingine wakana Na nikikuita waitika (Aah) Hujawai jificha … Read more

Salama Lyrics – Radical Feat. David Wonder

Salama, salama Salama na wewe Salama, salama Salama, salama Salama na wewe Salama, salama Umeondoa aibu, aibu Ukaondoa dharau masaibu, masaibu Na sina tena wa kumwambia Kile roho inapitia baba Nitakuishia forever For you Lord Ooh si makachiri kachiri, oh saga Nikihubiri hubiri, Hosana Na mienendo badili badili, ooh baba Uwe nyumbani kazini, salama Salama, … Read more

Salama Lyrics – Radical Feat. David Wonder

Salama, salama Salama na wewe Salama, salama Salama, salama Salama na wewe Salama, salama Umeondoa aibu, aibu Ukaondoa dharau masaibu, masaibu Na sina tena wa kumwambia Kile roho inapitia baba Nitakuishia forever For you Lord Ooh si makachiri kachiri, oh saga Nikihubiri hubiri, Hosana Na mienendo badili badili, ooh baba Uwe nyumbani kazini, salama Salama, … Read more

Naenda Yesu Lyrics – David Wonder

Ni David Wonder yeah (Alexis on the beat) Na wenye masengenyo Baki naenda na Yesu Na wenye michanganyo Baki naenda na Yesu Yelele yelele yelele Baki naenda na Yesu Yelele yelele yelele Baki naenda na Yesu Oh nimeshaijaribu pombe Ikafanya nikonde Badala nisonge Mi mfungwa hainiruhusu niende Nikajaribu na sigara Mapafu ikafungana Nakohoa kohoa Usiku … Read more

Mtoto Lyrics – Moji Shortbabaa Feat. David Wonder

Mtoto mtoto mtoto Mtoto mtoto mtoto Mtoto mtoto mtoto Mtoto mtoto mtoto Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, … Read more

Najua Lyrics – David Wonder

Baraka zako Kweli me nimejionea Na mkono wako Kutwa kucha umeninyoshea Mimi ni wako Tena mimi sitapotea Na neno lako Moyoni nimejiwekea Wakati me sikuwa na kitu Baba (ulinishikilia) Wakati me sikuwa na kitu Baba Ndio me nataka nikilala (nakuona tu Baba) Eeehh na nikiamka (nakuona tu Baba) Na me nataka nikitembea (nakuona tu Baba) … Read more

Rehema Lyrics – David Wonder

Watesi wangu hawawezi kuelewa Ninasema wewe ni Mungu wa baraka Tena hujawai chelewa Ninapofika mwisho wewe huja haraka Naomba unipe nguvu Nikiona maovu mimi nikimbie Unipe nguvu Kila siku nyimbo mpya mi nikuimbie Na wasiwasi sina tena (Tena) Iliishaga mapema (Pema) Wasiwasi sina tena (Tena) Iliishaga Ooh Baba umejawa rehema Rehema (Rehema) Umejawa rehema (Rehema) … Read more

Washangaze Lyrics – David Wonder

Wah wah wah wah washangaze washangaze Wah wah wah wah Washangaze washangaze Baba fanya my wonder wonder wonder Washangaze washangaze wonder wonder wonder Washangaze washangaze Ona nimefika mwisho Nitaanzia wapi baba Ulisema sitaona kifo Kabla hujaonekana Usiache me nianguke chini Niendapo baba enda na mimi Ulisema yangu ni kuamini We ni Mungu, niogope kwa nini? … Read more

Mgani Lyrics – David Wonder

David wonder, Safi records yeah Producer Paulo Na ni mwanaume Mgani huyo, mgani huyo Wa kujilinganisha na bwana Na ni mwanaume Mgani huyo, mgani huyo Wa kujilinganisha na bwana Na si umwambie ajitokeze Eh eh eh eh(eeeh..) Oooh mwambie ajitokeze Eh eh eh eh(eeeh..) Na wacha tumuone akitembea juu ya maji Anatuonea akifanya uponyaji Samaki … Read more

Zunguka Lyrics – David Wonder

Oooh nilizunguka Zunguka yeah yeah Kabla sijakupata Nilizunguka yeah yeah Nilizunguka Zunguka yeah yeah Kabla sijakupata Nilizunguka yeah yeah Wacha na ijulikane Mungu wangu anaishi Tangu si tupatane Sijawai kosa dishi Wacha na ijulikane Mungu wangu anaishi Tangu si tupatane Hatujawai kosa sisi Ndio maana Aii aii aii aaii ai Ooh nimekuona Baba Aii aii … Read more

Chachisha Lyrics – David Wonder

Odi wa Yesu (Alexis on the beat) Nachachisha, nachachisha Nachachisha, nachachisha Nachachisha, nachachisha Injili kila kona nitafikisha Nachachisha, nachachisha Nachachisha, nachachisha Nachachisha, nachachisha Injili kila kona nitafikisha Kuokoka ndio form tu, mtindo Toka kitambo nikiwa form 2, limbo Nikikatika pale F2, kwa window Jaza jaba bigijii juu, Owino Siku hizi sionekeni kwanza masunday Ukinikosa mtaaani … Read more

Kosa Lyrics – David Wonder

Oooh aaah (Alexis on the Beat) Niko na damu kwa mkono na nyama kwa mdomo Nitakulaje? Na lawama za wana hazifiki kikomo Nitashibaje? Nasema Baba nimekosa ooh kosa Kosea weee Nisije fanya tu kakosa ooh kosa Kukosana nawe Nasema Baba nimekosa ooh kosa Kosea weee Nisije fanya tu kakosa ooh kosa Kukosana nawe Ooh basi … Read more

Za Baba Lyrics – David Wonder feat. Mr. Seed

Ni David Wonder na Mr Seed again (Alexis on the beat) Mimi nangoja baraka za Baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba) Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba) Ukiinuliwa na mwanadamu Atakushusha chini tena Na mambo yako sio ya siri tena Ju … Read more

Mtindo Lyrics – David Wonder

[Swahili] Shetani anainama anainuka Anaona moto mwenyewe anatoroka Shetani anainama anainuka Anaona moto mwenyewe anatoroka Huyu Yesu amekuwa daddy Amekuwa nami ni mchungaji wa me Hata kuende aje siwezi worry ni mchungaji wa me. Mbona mnang'angana na mambo ya jana jana Tumwachie Bwana Bwana kile mi nataka mjue Kuokoka ndo mtindo uoh Kuokoka ndio mtindo … Read more