Nasema Asante Lyrics – Chris Mwahangila

Huu wimbo ni wimbo wa shukurani Usikie Mungu wangu Niseme nini kwako? Nilipe nini kwako Sina cha kulipa mbele zako Mungu wangu Huu wimbo, huu wimbo Ni shukurani ni shukurani Kwako Baba yangu Asante Bwana, asante Bwana Nasema asante, nasema asante Nasema asante ewe Mungu wangu Nasema asante, nasema asante Nasema asante ewe Mungu wangu … Read more

Moyo Furahi Lyrics – Chris Mwahangila

Moyo furahi, moyo furahi Moyo furahi Mungu amekutendea Moyo imba, imba moyo imba Mungu amekutendea Moyo furahi, moyo furahi Moyo furahi Mungu amekutendea Moyo imba, imba moyo imba Mungu amekutendea moyo Moyo furahi, moyo furahi Moyo furahi Mungu amekutendea moyo Moyo imba, imba moyo imba Mungu amekutendea moyo Peleka sifa zako kwa bwana Kama asingekuwa … Read more

Hakuna Kama Wewe Mungu Lyrics – Chris Mwahangila

Petro na Yohana walikuwa wakikwea Majira ya saa tisa kwenda hekeluni kusali Petro na Yohana walikuwa wakikwea Majira ya saa tisa kwenda hekeluni kusali Katika mlango uitwao mzuri Palikuwa na kiwete tangu kuzaliwa hajatembea Katika mlango uitwao mzuri Palikuwa na kiwete tangu kuzaliwa hajatembea Alipowaona akataraji kupata kitu kwao Alipowaona akataraji kupata sadaka kwao Wakamwambia … Read more

Utachipuka Tena Lyrics – Annastacia Mukabwa

Yaapo matumaini makubwa Kwa muuti, uliokatwa Yaapo matumaini makubwa Kwa muuti, uliokatwa Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Kwa harufu ya maji, utachipuka tena Watu wengi wanaiona leo yangu Lakini kesho yangu wengi hawaijui Watu wengi wanaiona leo yangu Lakini kesho yangu wengi … Read more

Mungu Hawezi Kukusahau Lyrics – Chris Mwahangila

[Swahili] Ooh Kweli na kwamba Danieli Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali Ooh Kweli na kwamba Danieli Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali Mbali na kwamba Shedraki na Abedinego Walitupwa kwenye tanuru la moto Watu wakajiuliza sana, tulitupa watatu Wanne amatoka wapi? Askari wakajiuliza, tulitupa watatu Wanne amatoka wapi? Kumbe katikati ya taabu … Read more

Mungu Ni Mungu Tu Lyrics – Christopher Mwahangila

[Swahili] Nabii Elijah, aliwaita manabii wote,wa Mungu baali Lengo la elija,ilikuwa ni kumthibitisha Mungu wa kweli ni yupi, kati ya Mungu wa baali, na Mungu wa mbinguni. Akawambia watu nikaribieni mimi, akachukua mawe kumi na mbili akaanza kujenga madhabau. Akaweka kuni juu yake,akaweka sadaka juu yake, Akachimba mfereji ,akawambia watu mwageni maji mapipa manne, wakamwaga … Read more

Nitetee Lyrics – Chris Mwahangila

[Swahili] Refrain: Nitetee Mungu, nitetee Baba (Defend me God, Father defend me) Nitetee Mungu wangu, Bwana (Advocate for me my Lord God) (Repeat) Nitetee Mungu wangu (Defend me my God) x4 Nakuomba Mungu (I pray to You, God) Safari yangu imejaa vikwazo (My journey is full of troubles) Safari yangu ina vita kubwa (My journey … Read more