Roho Yangu (My Soul) [Hymn] Lyrics – Esther Musila & Guardian Angel
[Swahili – A Hymn] Bwana Mungu nashangaa kabisa (O Lord my God, when I in awesome wonder) Nikifikiri jinsi ulivyo (Consider all the worlds Thy hands have made) Nyota, ngurumo, vitu vyote pia (I see the stars, I hear the rolling thunder) Viumbavyo kwa uwezo wako (Thy power throughout the universe displayed) Refrain: Roho yangu na ikuimbie (Then sings my soul, my Savior God, to…