Utapita Kwangu Lyrics – Abiudi Linini

Lini utapita kwangu
Lini utapita kwangu
ninataka niguze fimbo lako
Lini utapita kwangu

Nimeskia habari zako na shuhuda ulizofanya
Ninataka na  Mimi nione kwa macho
Ninauliza lini utapita kwangu
Kuna watoto wawengine waliokua Hawafai
Umewaokoa na kuwabiriki nauliza lini utapita kwangu
Lini Utapita kwangu


Lini utapita kwangu
Ninataka Niguse fimbo lako Yesu
Ni lini utapita Kwangu
Lini utapita kwangu

Ninataka Niguse pindo lako Yesu
Ni lini utapita kwangu
Kuna wengine walikua Ni wagonjwa
Wameanza wameanza na kunoga

Waliokua masikini wakutupwa wenye madeni hawana amani
Leo hii wako vizuri wanaendelea
Lini utapita kwangu
Lini utapita kwangu

Ninataka Niguse fimbo lako Yesu
Ni lini utapita kwangu
Bibilia linasema Alitokwa na damu mingi
Hana amani

Wimbo huu Una Yesu ndani
Anapita hapo atakama humuhisi
Gusa kwa maneno
Tamka maneno juu ya ndoa ,Madeni ,magonjwa,shida na taabu zako

Song by Abiudi Linini