Uso Wa Bwana Lyrics – Florence Mureithi youtu.be
Gethsamane Yesu Aliomba Baba mapenzi Yako yatimizwe Mungu kwa ajili yako na yangu kampa nguvu Akashinda
Nawe omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Dada omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Ndugu omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Mtafute Bwana Apatikanapo Umuite sasa Yukaribu
Asema bwana unapomuita hakika atakusikia
Nawe omba omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Ndugu omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Dada omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Omba usije ukaingia majaribuni eh ndugu,
Usimame mkamilifu mbele za Bwana daima
Nawe omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Dada omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Ndugu omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Tuombe omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Wakenya omba omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Tuombe tuombe omba omba utafute Uso wa
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Song by Florence Mureithi
Report Story