Niongoze Lyrics – Pammy Ramz

Maisha ni kama safari, ulimwengu barabara
Nilitoka ni kwako, ninarudi ni kwako
Anayejua njia ni wewe, mwanzo na mwisho
Nilitoka ni kwako, ninarudi ni kwako

Maisha ni kama safari, ulimwengu barabara
Nilitoka ni kwako, ninarudi ni kwako
Anayejua njia ni wewe, mwanzo na mwisho
Nilitoka ni kwako, ninarudi ni kwako


Niongoze, niongoze
Niongoze, niongoze
Niongoze, niongoze
Niongoze, niongoze

Usipolinda mji peke yako
Waulindao wakesha bure
Hekima ya mwanadamu ni ujinga mbele zako

Usipojenga nyumba peke yako
Waonjengao wachoka bure
Ujuzi ya mwanadamu udhaifu mbele zako

Anayejua njia ni wewe, mwanzo na mwisho
Nilitoka ni kwako, ninarudi ni kwako
nayejua njia ni wewe, Alpha na Omega
Nilitoka ni kwako, ninarudi ni kwako
(Kwa hivyo..)

Niongoze, niongoze
Niongoze, niongoze
Niongoze, niongoze
Niongoze, niongoze

Niongoze, niongoze
Niongoze, niongoze

Anayejua njia ni wewe, mwanzo na mwisho
Nilitoka ni kwako, ninarudi ni kwako

Song by Pammy Ramz

Written by Daniel Mangubu