Nayaweza Lyrics – Beda Andrew

Baba amesema kwamba, tumwite nae atasikia
Tena amesema kwamba tukimwomba jambo atatutendea
Baba amesema kwamba, tumwite nae atasikia
Tena amesema kwamba tukimwomba jambo atatutendea

Ila tuwe na imani nayeye
Tukiamini anaweza yote eeeeh
Mwenye hofu ajigange moyo
Akiamini Mungu yupo


Huku tukifanya kazi
Tukipambana tukipambana
Tukimwamini wetu mwokozi
Yesu wa maana ashushae baraka aaah aaah

Nayaweza, nayaweza
Nayaweza, nayaa
Nayaweza, nayaweza
Nayaweza, nayaa

Palipo na nia pana njia
Tena hutimia
So nenda polepole utafika
Yanini kukimbia eeeh?

Fanya magumu kama hujayaona
Japo yanachoma usijali wewe
Wanaokucheka watapata homa
Pale wakikuona unasonga mbele

Daily mapambano pigana
Ukisaka Day
Wanaokucheka leo achana nao
Tazama kesho yakooooh

Nayaweza, nayaweza
Nayaweza, nayaa
Nayaweza, nayaweza
Nayaweza, nayaa

Nayaweza, nayaweza
Nayaweza, nayaa
Nayaweza, nayaweza
Nayaweza, nayaa

Song by Beda Andrew