Haja Ya Moyo Lyrics – Eliya Mwatondo

Hii ni haja ya moyo wangu
Hii ni haja ya moyo wangu
Kukaa nawe Kukaa nawe
Kukaa nawe Bwana

Hii ni haja ya moyo wangu
Hii ni haja ya moyo wangu
Kukaa nawe Kukaa nawe
Kukaa nawe Bwana


Natamani nikae nawe Bwana
Siku zote za maisha yangu
Niutazame uzuri wako
Nakutafakari hekaluni mwako
Maana heri siku moja nawe
Kuliko siku mbali nawe

Ninaomba kukaa nawe
Siku zote siku zote
Ninaomba kukaa nawe
Siku zote siku zote

Song by Eliya Mwatondo