Jambo Gani Lyrics – Ali Mukhwana

Kwani ni jambo gani linalo kushinda wewe
Kwani ni shida ipi iliyokulemea
Iwe njaa, iwe kazi, iwe nyumba
Magonjwa, familia, karo ya shule

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Suluhisho letu, kumbuka watu wako baba

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Mponyaji wetu

Yupo Mungu asikiye maombi yetu
Yupo Mungu aonaye kwa siri
Tunapojinyenyekeza
Anasikia maombi yetu


Iwe huduma imekataa
Iwe ndoa imeshindikana
Iwe huduma imekataa
Iwe ndoa imeshindikana

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Suluhisho letu, kumbuka watu wako baba

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Mponyaji wetu, ni wewe

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Suluhisho letu, kumbuka watu wako baba

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Mponyaji wetu, ni wewe

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe Mungu, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe Mungu, ni wewe

Song by Ali Mukhwana