Tunapendana Lyrics – Alpha Mwana Mtule
Nilipatana na Zambe Nikiwa mtu bure Hizo siku nilikuwa nimezubaa Pale kwetu Webuye Alinikuta nimeparara Akaniosha nikang’ara Hii talanta ya muziki anakipa Na akazidi kutenda miujiza Mapenzi napata Kwa mwenyezi sijawai ona pahali Mapendo napata Sijawai ona pahali Ah Zambe, Azali munene Zambe, Azali munene Naishi naye hapa duniani niko na yeye Hakuna mwingine kama … Read more