Asante (Thank You) Lyrics – Angel Benard

[Sung in Swahili] Ngome imara (Strong fortress) Mwenye haki hukukimbilia (Where the righteous seek refuge) Na kuipata salama (And find it safety) Ndiwe Mungu, mwenye nguvu ya kutoa (You are God with the power to give) Na nguvu ya kutwaa (And the power to take) Wewe pekee ndiwe Mungu (You alone are God) Hekima yako … Read more

Asante Lyrics – Angel Benard

Ngome imara, mwenye haki Hukukimbilia na kuipata salama Ndiwe Mungu, mwenye nguvu ya kutoa Na nguvu ya kutwaa Wewe pekee ndiwe Mungu Hekima yako inazidi hekima ya dunia Na ujuzi wa wanadamu Hofu iliinuka ikakutana na wewe Ikafungwa kinywa tumeinuka Taabu za dunia zinapokutana na wewe Tunashinda yote tunainuka Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa Asante, … Read more

Salama Lyrics – Angel Benard

Heieee aaah Haaaaooo Mmmmmm Nionapo amani kama shwari ama nionapo shida Kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu Nionapo amani kama shwari ama nionapo shida Kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni sakama rohoni mwangu Ingawa shetani alinitesa nalijipa moyo kwani Kristo uliuona unyonge … Read more

Mi Na Yesu Lyrics – Angel Benard

Bwana ni ngome yangu Wimbo wangu milele Bwana ni mwamba wangu Sitaogopa kamwe Bwana ni wokovu wangu Utukufu wangu Bwana ni nguvu zangu Nimwogope nani? Bwana ni wokovu wangu Utukufu wangu Bwana ndiye nguvu zangu Nimwogope nani? Yeah uuu…Nimwogope nani? Yeiii uuu…Nimwogope nani? Yeiyeee.. Mi na Yesu tu Mi na Yesu tu Mi na Yesu … Read more

Need You To Reign Lyrics – Angel Benard

I need your presence lord more of you in me eeh I need your presence lord more of you in me Natamani nikae uweponi mwako nikae miguuni pako niutazame uzuri wako nisikilze sauti yako Nikae uweponi mwako nikae miguuni pako niutazame uzuri wako nisikilze sauti yako Need you to reign Need you to reign To … Read more

Nikumbushe Wema Wako Lyrics – Angel Benard

[Swahili] Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele Pale mambo yanapoonekana hayaendi ni ajabu sana namna moyo unahangaika Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu, Japokuwa Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu, ahh nakumbuka wana wa Israel katika bahari yashamu Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi, Kwa … Read more

Utukumbuke Lyrics – Angel Benard

[Swahili] Bwana Yesu Nataka niseme na wewe Usifiwe moyo baba, usife moyo mama Nakuona mama unatazama watoto waumia moyoni Nakuona baba unashinda umelewa, uheshimiwi nyumbani Nakuona kijana umetafuta umechoka Pia tena na leo mwokozi yuona yale wanapitia Baba ona uwakumbuke Uwakumbuke, wagonjwa hao (uwakumbuke) Yatima Baba (uwakumbuke) Baba aah Wandandoa wale (utukumbuke) Kina mama wale … Read more

Siteketei Lyrics – Angel Benard

[In Swahili] Refrain: Mi siteketei, siangamii (I do not burn, I do not fall) Sigharikishwi, upo nami (I am not swept away, for You are with me) (Repeat) Hupimwi kwa siku, Hupimwi kwa miaka (You are not measured by days or years) Unatafsiri majira, Huzuiwi na muda (You define seasons, You are not bound by … Read more

Kiu Yangu Lyrics – Angel Benard

[In Swahili] Dhamira yangu Kujua (My desire is to know) Nina wewe Yesu (That I have You Jesus) Dhamira yangu Kujua (My desire is to know) Nina wewe Yesu (That I have You Jesus) Asubuhi, mchana wote (Morning, all afternoon) Jioni hata usiku (Evening and even night) Kwenye hali zote (In all situations) Nitembee na … Read more

I Surrender Lyrics – Angel Benard

[In Swahili] Sikupi mipaka tena (I will not set boundaries on You again) Chukua nafasi Bwana (Take the space, Lord) Miliki kila chumba ndani yangu (Occupy every room in me) Sikupi mipaka tena (I will not set boundaries on You again) Panga na pangua (Arrange and re-arrange) Yape yote sura yako (Make everything to be … Read more