Jinsi Nilivyo Lyrics – Ali Mukhwana Feat. Tumaini Akilimali
Jinsi nilivyo Bwana Jinsi nilivyo Jinsi nilivyo Bwana Naja Kwako Jinsi nilivyo nipokee Baba nikikumbuka ulikonitoa Ulinitoa mbali Baba eh Nikulinganishe na nani Baba haulinganishwi Siwezi siwezi bila wewe Ndiposa nasema jinsi nilivyo naja kwako Wewe ni mchungaji wangu Wewe ni njia yangu ya uzima Jinsi nilivyo Bwana nipokee Bila wewe nitakuongee na nani Bila … Read more