Love On Fire Lyrics – Walter Chilambo

[Swahili, English] Hivi nakupendaje? (How much do I love You!) Hata mwenyewe sijielewi (So much that even I cannot understand myself) Ninakupendaje? Namna hii Bwana (How much do I love You, like this) Hivi umenipokeaje? (The way You have received me) Maana nasikia raha sana (I am filled with joy) Umenipokeaje? (Namna hii Bwana) (The … Read more

Tanzania Lyrics – Walter Chilambo Feat. Asagwile Mwasongwe

Eh Mungu asante kwa nchi yetu Tanzania (Asante) Ni wewe uliyeumba mataifa yote Ikiwemo Tanzania Umetubariki umoja na amani Uzalendo mshikamano Kama bendera inavyopepea Ni ishara ya kwamba Tanzania ni ya amani Ni wewe uliyeumba ndege na wanyama Bahari na uoto wa asili na milima Ukatupa amani na uhuru Tanzania Ukatupa ujasiri, na viongozi mahiri … Read more

Usinipite Lyrics – Walter Chilambo

Ee Bwana nainamisha kichwa changu Ninakuabudu we Na tena nainua mikono yangu Kukuadhimisha we Na ninashuka kwa unyenyekevu Madhahabuni pako Maana majibu ya maswali yangu Baba nitapata kwako Kwanza nahitaji rehema zako Nisafishe Bwana Kwa yale nayajua na nisoyajua Niwe safi Bwana ninaomba nehema yako Na kibali chako juu yangu wee Nitembee kifua mbele Yesu … Read more

Neema Yako Lyrics – Walter Chilambo

Umenitoa mbali Kusiko julikana Kwa Neema yako Isiyosemekana Umenitoa kule kusikojulikana Kwa upendo wako Usiosemekana Ni Muujiza Mi kufika hapa Ni Muujiza Mi kuwa hai Ni Muujiza Kupendwa na wewe Yesu Ni Muujiza Kusimama tena Si kwamba mimi nimetenda wema, saaaana Si kwamba mimi ni mtakatifu , sanaaaa Si kwamba mimi ni mnyenyekevu, sanaaaa Si … Read more

Mfariji Wangu (My Consolation) Lyrics – Walter Chilambo

Asante Yesu Libarikiwe jina lako bwana Uinuliwe Bwana Mungu Baba Mtakatifu Uliemwema na mkamilifu Mungu Baba na Roho Mtakatifu Uletae uhai Mfariji wa kweli Wewe ulietabibu Unaeganga mioyo yetu Uliemwema wakati wote Ata sasa ooh Bwana Ulieweka mchana na usiku Ujuae mwanzo na mwisho wetu Wakati wa furaha na uchungu Utabaki kuitwa Mungu Ni wewe, … Read more

Nimeamini Lyrics – Jessica (J Sisters) Feat. Walter Chilambo

Aah, aah, aah Nilikuwa nikingoja wapi itatokea Faraja ya kweli Nilikuwa nikingoja wapi itatokea Furaha ya kweli Nilijua labda pesa itanifariji Nilijua labda wingi wa marafiki Nilojua nyumba na magari nilionayo Sikujua napoteza muda kushikilia vya duniani Kumbe ni wewe (Yesu) Bwana wangu (Yesu) Ni mwaminifu (Yesu) Rafiki wa kweli (Yesu) Faraja ya kweli (Yesu) … Read more

Unaniona Lyrics – Walter Chilambo

Kama Mungu angechangua watu wake Mimi singekuwepo duniani Kama Mungu angechagua watakatifu Mimi singekuwepo duniani Chorus: Mimi binadamu, wala si malaika Mengi nimekosea na kukuchukiza Mi nafanya mambo yasiyo stahili Nimevuruga vuruga mipango yako Wanihurumia Mbele ya macho ya wanadamu Nilikuwa nikijificha Kumbe wewe waniona Kwa kujifanya mtakatifu Tena bingwa mkarimu Nilikuwa/(Kwenye ibada) mnyenyekevu Tena … Read more

Chakutumaini Sina Lyrics – Walter Chilambo

Cha kutumaini sina Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha Cha kutumaini sina Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha (Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama) Njia yangu iwe ndefu Yeye … Read more

Merry Christmas Lyrics – Walter Chilambo

Huh huh huh huh huh huh (uuuuh uh uh) Huh huh huh huh huh huh tututurururutu Huh huh huh huh huh huh Oooh wooo Merry Christmas and a Happy New Year Merry Christmas and a Happy New Year Merry Christmas and a Happy New Year Merry Christmas and a Happy New Year oooh Merry, Christmas … Read more

Only You Lyrics – Walter Chilambo

Iyee mmhh eh, iye mm eeh (Aaah) Iyee mmhh eh (aaaah) Hmmmm Maisha yangu Yana wewe Mungu Tumaini la moyo Kwako mim nimeliweka Msaada Wa karibu bwana Nitakusifu wewe tu Na nitakutuza Nitapolemewa na mizigo Magonjwa na mateso Sina wasiwasi tena Nipitapo uvuli wa mauti bwana Gongo lako na fimbo yako Vinanifariji bwana aaah Umenifanya … Read more

Najivunia Lyrics – Walter Chilambo

Ningekuwa na mali Magari ya kifari Bila amani Ninajivunia nini? yeah Pesa nyingi Nyumba na biashara Bila amani, yeah yeah Si mali kitu kama unaishi unalia ndani yako Kwa maumivu tena umeshikilia imani zako Wamsahau mungu eti unajivuna ni nguvu zako na shule umesoma tena unajidanganya ni akili zako Polee Duniani sipakujivunia jina Wala mavazi … Read more

God Of Mercy Lyrics – Walter Chilambo

Yelelelelee yeleleeeeleee Yeleeeeee yeleeeleeeleee Oh you are, you are God you are God of mercy You are God oh, you are God of mercy You are, you are God of mercy yeeah You are, you are God of mercy You are God (you are god) (You are) you are God of mercy You are God … Read more

Namba Moja Lyrics – Walter Chilambo

Wacha niseme, we ni namba moja Umenifanya wa thamani wa pekee Hakuna kama we, na sioni mwingine tena Wakufanana nae, ila ni wewe bwana Wakufanana nae, ila ni wewe bwana And I believe, ni wewe pekee yako And I believe, bila wewe nisingekuwepo Maana uliniumba, kwa mfano wako we Huo ni upendo usiolezeka Uzuri na … Read more

Moto Lyrics – Walter Chilambo

Sijawahi ona zaidi yako Shammah Sijawahi kuona kama wewe Baba Sijawahi kuona sifa za lako jina Simba kabila la Yuda, ooh mwamba Unayefanya maajabu yaliyoshindikana Kwa jina lako eeh Unayetenda yasiyowezekana Ayee, yee yee Wewe unaye ponya viwete wakatembea Wewe unayeponya vipofu wakaona Tena unayeponya viziwi wakasikia Na mimi masikini wanipa habari njema Yaani mambo, … Read more

Sijaona Lyrics – Walter Chilambo

Aaahhh Thank you Jesus Thank You Lord, Hallelujah Sijaona Kama wewe sijaona Sijaona kama weweee bwanaa Chorus: Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe eehh Bwana (Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe eehh Bwana Sijaona kama wewe eeehhh Sijaona kama wewe eehh Bwana) Verse 1: Nimekukimbilia wewe ili nisiaibike Nakinywa changu kinene utukufu kwako … Read more

Asante Lyrics – Walter Chilambo

[In Swahili] Asante Mungu, wewe ni mwema (Thank You God, You are good) Umenipa uzima, na kunipenda (You have given me life and loved me) Moyoni mwangu nina amani tena (I have peace in my heart once again) Nimeacha yote niliyoyatenda (I have abandon all I did before) Nimeamua nikufuate maana we ni salama (I … Read more

Unaniona Lyrics – Walter Chilambo

[In Swahili] Kama Mungu angechangua watu wake (If God selected His people) Mimi singekuwepo duniani (I would not be here on earth) Kama Mungu angechagua watakatifu (If God selected the Holy ones) Mimi singekuwepo duniani (I would not be here on earth) Refrain: Mimi binadamu, wala si malaika (I am but a human, not an … Read more