Pray Today Lyrics – The Saints Ministers

Jesus thought to pray In His word He says Pray without ceasing He is not deaf He will hear You His hands are not short to reach You pray Pray today, pray today God is so loving He listens to You Make a prayer today Make a prayer today God is loving He'll listen to … Read more

Who Is He? Lyrics – The Saints Ministers

Who is He in yonder stall At whose feet the shepherds fall? Who is He in deep distress Fasting in the wilderness? Refrain: ’Tis the Lord, O wondrous story ’Tis the Lord, the King of glory At His feet we humbly fall Crown Him, crown Him Lord of all Who is He the people bless … Read more

Zamu Ya Huduma Lyrics – The Saints Ministers

Zamu ni yangu ya huduma, zamu ni yetu ya huduma, sitakimya sitalegea nitasimama niende zamu ni yangu ya Huduma sitakimya sitalegea nitasimama niende zamu ni yangu ya Huduma Bridge: Mwanzilishi wa huduma hii, Mwana wa Mungu alihudumu kwa wote Aliyeshuka alipaa juu mbinguni avijaze vyote, Akatoa mitume manabii, wachungaji, wainjilisti, na walimu Zamu ni yangu … Read more

Amini Lyrics – The Saints Ministers

Sijui sababu ya neema aah Niliyopewa na Mungu wetu uuh Sikustahili pendo lake eeh Wala wokovu wa Yesu kristo Amini amini, amini Yesu amini Amini amini Maombi yako yako yatajibiwa Sijui jinsi nilivyopewa Imani ya kumwamini Yesu kristo Neno lake Yesu lilileta amani yake moyoni mwangu Amini amini, amini Yesu amini Amini amini Maombi yako … Read more

Mifulizo Ya Baraka Lyrics – The Saints Ministers

Mungu, Elshadai wetu, matendo yako makuu, umetukamilisha twajivunia (mifulizo) ya baraka zako Twala, twanywa, twalala, twaamka, uaminifu wako kwetu mkuu, Hitaji letu tunalo baraka zako zafululiza twashukuru kwazo 1. Hannah alibezwa kwa kukosa mtoto, hakukataa tamaa, aliomba, wakati wa Mungu ulipofika Samweli kazaliwa baraka nyumbani mwake 2. Waangalieni Ndege wa angani, hawapandi wala hawavuni, hawakusanyi … Read more

Zangu Ni Shukrani Lyrics – The Saints Ministers

Nasifu Shani zako Elohim, safari mbali umenileta Sina budi kuzishukuru hisani zako kuu Kwa ukarimu wako nabarikiwa nitatoa nini kwako Bwana na vyote ni vyako miye ni mlinzi ulivyoagiza Edeni Zangu zangu, Zangu zangu, Zangu ni Shukrani Mungu Sina neno uwapo karibu, nipatalolote si taabu, Kifo na kaburi haviumi nitashinda kwako Nilalapo nikuone wewe, gizani … Read more

Mungu Ajibu Maombi Lyrics – The Saints Ministers

Unapoomba, nitaje Jina omba Mungu anikumbuke, Ni mnyonge mimi sina uwezo, kwa maombi 'tapata nguvu Unapoomba omba kwa Imani maombi atayasikia, unapoomba uwe mnyenyekevu, maombi atayajibu Kulala kwetu, kuamka kwetu, kuishi kwetu ni Neema, tumaini letu li kwako Bwana, Abudu, ungama, shukuru kwa dua zetu, tumaini letu li kwake Bwana Mungu ajibu maombi maombi ya … Read more

Maombi Lyrics – The Saints Ministers

Unapoomba nitaje jina Omba Mungu anikumbuke Ni mnyonge mimi sina uwezo Kwa maombi ntapata huru Unapoomba omba kwa imani Maombi atayasikia Unapoomba uwe mnyenyekevu Maombi atayajibu Kulala kwetu kuamka kwetu Kuishi kwetu ni neema Tumaini letu ni kwako Bwana Abudu ungama shukuru kwa dua zetu Tumaini letu ni kwako Bwana Unapoomba omba kwa imani Maombi … Read more

Ajua Yote Mwamini Lyrics – The Saints Ministers

Yesu ajua machungu yako Ameona machozi yako Asema niko nawe mpendwa Usiogope chochote Mwamini mwokozi ajua yote Nakusihi mwachie akushugulie kamilifu Ajua yaliyo moyoni mwako Mateso umeyapitia Ni mwema hatakuacha Mwamini mwokozi ajua yote Nakusihi mwachie akushugulie kamilifu Song by The Saints Ministers